Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp1 uku. 97
  • Mfano wa Kuigwa—Ayubu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfano wa Kuigwa—Ayubu
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
  • Habari Zinazolingana
  • Ayubu—Kielelezo cha Mwenendo wa Utawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Kitabu Cha Biblia Namba 18—Yobu
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Ayubu Alivumilia—Hata Sisi Twaweza!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • “Mmesikia Juu ya Uvumilivu wa Ayubu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
yp1 uku. 97

Mfano wa Kuigwa​—Ayubu

Maisha ya Ayubu yamebadilika kabisa. Kwanza, amepoteza mali zake zote. Pili, watoto wake wamekufa. Tatu, amekuwa mgonjwa sana. Yote hayo yametokea ghafula. Akiwa amekata tamaa, Ayubu asema: “Nafsi yangu inahisi kuchukizwa na uhai wangu.” Asema kuwa ‘amejawa sana na aibu na kujawa na mateso.’ (Ayubu 10:1, 15) Hata hivyo, ijapokuwa ana dhiki, Ayubu hajamwacha Muumba wake. (Ayubu 2:10) Mabadiliko maishani mwake hayajambadili. Hivyo basi, Ayubu ni mfano mzuri wa uvumilivu.

Unapokumbwa na matatizo, huenda wewe pia ‘ukachukizwa na uhai wako.’ Hata hivyo, kama Ayubu, unaweza kuwa mtu asiyebadilika hata maisha yakibadilika, mtu ambaye ameazimia kabisa kumtumikia Yehova Mungu bila kuyumba-yumba. Yakobo aliandika: “Tazama! Tunawatangaza kuwa wenye furaha wale ambao wamevumilia. Mmesikia juu ya uvumilivu wa Ayubu nanyi mmeona matokeo ambayo Yehova alileta, kwamba Yehova ni mwenye upendo mwororo sana na mwenye rehema.” (Yakobo 5:11) Alimjali Ayubu, naye anakujali wewe!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki