Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • rr kur. 56-57
  • “Mwana wa Binadamu, Je, Unaona Hili?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mwana wa Binadamu, Je, Unaona Hili?”
  • Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Ona Mambo Maovu na Yenye Kuchukiza Wanayofanya’
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Jilinde na Ibada ya Sanamu ya Kila Aina
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Kufukiza Uvumba—Je, Kunahitajiwa Katika Ibada ya Kweli?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Yerusalemu Unaharibiwa
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
rr kur. 56-57

SANDUKU LA KUFUNDISHIA 5A

“Mwana wa Binadamu, Je, Unaona Hili?”

Makala Iliyochapishwa

Mambo manne yenye kuchukiza ambayo Ezekieli aliona katika ua na hekaluni. (Eze. 8:5-16)

Wayahudi walioasi wakiabudu sanamu ya wivu.

1. SANAMU YA ISHARA YA WIVU

Ezekieli akitazama ndani ya ua wa ndani wa hekalu ambapo wazee wanafukizia uvumba mifano ya miungu ya uwongo iliyochongwa ukutani.

2. WAZEE 70 WAKIITOLEA MIUNGU YA UWONGO UVUMBA

Wanawake wakimlilia mungu Tamuzi.

3. “WANAWAKE . . . WAKIMLILIA MUNGU TAMUZI”

Wanaume ishirini na tano wakiwa katika ua wa ndani wa hekalu wakiabudu jua.

4. WANAUME 25 “WAKILIINAMIA JUA”

Angalia sura ya 5, fungu la 7-18

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki