Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 98
  • Ukosefu wa Heshima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukosefu wa Heshima
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 98

Ukosefu wa Heshima

Ni matendo na mtazamo gani usio wa heshima tunaopaswa kuepuka?

Zb 10:13; 3Yo 9, 10

Tazama pia Zb 74:​10, 18; Yud 8, 10

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 1Sa 2:​12-17, 22-25, 27-30—Watoto wa Kuhani Mkuu Eli hawakuiheshimu ibada ya Yehova, na Eli hakuwatia nidhamu, hivyo hakumheshimu Yehova

    • 2Fa 1:​9-15—Yehova aliwaangamiza wanajeshi waliokosa kumheshimu nabii wake Eliya, lakini hakuwadhuru wale walioonyesha unyenyekevu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki