HISPANIA
(Ona pia Andorra; Columbus, Christopher; Kihispania; Kikatalani)
(Kuna kichwa kidogo: Mashahidi wa Yehova)
Acinipo (Ronda la Vieja): g04 3/8 14-16
afya na magonjwa:
dawa za kuwaua wadudu zimo katika miili ya watu nchini Hispania: g 12/08 29
Albarracín: g 7/09 16-19
Barcelona: g03 7/8 14-17
Cádiz:
jiji la Wafoinike: w08 11/1 26-27
Córdoba: g 2/12 28
dawa za kulevya: g 1/07 15
dini:
Alfonso de Zamora (msomi wa Biblia aliyeishi katika miaka ya 1500): w11 12/1 18-21
Mfalme Filipo wa Pili aunga mkono uchapaji wa Biblia ya Kifalme: w06 11/15 14-16; w05 8/15 9-13
tafsiri za Biblia: w04 8/15 28-29
uvutano unapungua: g96 4/8 3, 5-6, 8
familia:
kutengana na talaka: g 5/06 14; g02 8/8 28
njia mpya ya “kuwatunza” wazee: g02 12/22 28
Granada:
majengo ya Alhambra: g 2/06 14-17
Kanisa Katoliki:
idadi ya makasisi inapungua: g04 11/8 29
idadi ya watu wanaokubali kanisa lipewe kiasi fulani cha kodi wanayolipa: g 2/06 30
kanisa la Mejorada del Campo: g96 4/8 10
mjadala kati ya kasisi Mdominika na Rabi Naḥmanides (1263): w97 4/15 19-22
uvutano unapungua: g05 7/8 28; g03 9/8 29
kilimo:
eneo la Extremadura: g02 5/22 16
Krismasi: w04 12/15 3-4
Madrid: g03 6/22 23-27
maeneo mbalimbali:
Bustani ya Wanyama ya Cabárceno: g01 3/22 22-23
mbuga ya Monfragüe: g02 5/22 16-18
mgodi wa dhahabu huko Las Médulas: g01 1/22 22-23
mafuta yaliyomwagika baharini (meli Prestige, 2002): g03 8/22 20-21
Magellan, Ferdinand: g97 11/8 12-17
makoloni barani Amerika:
Wamaya walivyoathiriwa: w08 12/1 13-14
“mama wa simu” wanaoandaa chakula: g03 1/22 28
Manowari za Hispania (1588): g 6/11 24-25; g 1/10 20-21; g 8/07 24-27; dp 138
mashirika yanatiliwa shaka: g05 7/8 28
mazoea ya kulala: g 8/07 29
mbegu za zeituni zatumiwa kama kuni: g 10/06 30
miti:
mialoni yenye majani yasiyonyauka: g02 5/22 16
Mkataba wa Tordesillas (1494): g97 11/8 14
ndege: g02 5/22 16, 18
Pamplona:
kukimbizwa na mafahali: g02 10/8 21
Paulo akusudia kwenda Hispania: bt 214
ramani: yb09 21; g 6/07 16; g04 3/8 14; g03 7/8 14
sanaa na majengo ya Wamoori nchini Hispania: g03 7/22 14-17
sanaa ya kupamba chuma kwa dhahabu: g05 1/22 16-18
sanamu ya ukumbusho kwa Shetani: g02 7/8 31
serikali:
Alfonso wa Kumi (Alfonso Mwenye Hekima): g 1/07 12-14
Kanisa na Serikali: g03 8/8 31
Seville: g03 7/22 14-17
shambulio la magaidi kwenye vituo vya gari-moshi (2004): g04 11/8 13-15
tiba:
Mashahidi waeleza msimamo wao kuhusu damu katika chuo kikuu (1996): w97 2/15 19-20
Toledo: g 6/07 16-19
Shule ya Watafsiri (miaka ya 1200): g 1/07 12-14; g 6/07 19
vita vya wenyewe kwa wenyewe (1936-1939):
dini zilichochea: re 207-208, 262
wanyama:
farasi wanaocheza dansi: g05 5/22 15-17
mbuga za taifa za Pyrenees: g 3/09 16-17
simba-mangu wa Iberia: g04 7/22 18
wanyama kutoka nchi nyingine: g04 1/8 28
watoto:
magonjwa ya akili: g03 12/22 29
tabia ya kutazama televisheni: g04 2/8 29; g98 11/22 28-29
Wayahudi:
mijadala kati ya Wayahudi na wawakilishi wa Kanisa Katoliki (1263): w97 4/15 19-22
wafukuzwa (1492): w11 12/1 18
Mashahidi wa Yehova
azimio “Ushuhuda kwa Watawala wa Ulimwengu”: jv 437
kazi ya kuhubiri ilivyoanza: jv 384, 424, 429-430, 436-437
kutumika katika eneo lenye uhitaji mkubwa:
mapainia kutoka Uingereza: jv 437
maeneo mbalimbali:
Logroño: w09 9/15 30-31
mahakama:
mahakama yampa mama haki ya kuwalea watoto (2008): g 7/10 14
Majumba ya Kusanyiko: jv 328
Majumba ya Ufalme: jv 384, 700
kulikaribisha kutaniko la Kifaransa: w12 1/1 14-15
makutaniko mawili yatumia jumba moja Ureno: w12 1/1 12-13
Mashahidi wapewa kiwanja: g03 8/8 31
Mashahidi wasifiwa katika vyombo vya habari: g96 4/8 10
makasisi wawasifu Mashahidi:
kwenye mkutano wa viongozi wa dini: rs 195
makutaniko: jv 501
mama amwahidi binti yake anayekaribia kufa kwamba atakuwapo binti huyo atakapofufuliwa: w08 3/15 19-20
mambo yaliyoonwa utumishini:
kijana mhalifu aliyetumia dawa za kulevya: w08 6/1 13-15
kiziwi katika kituo cha kuwatunzia wazee: w05 11/1 32
magaidi: g 6/11 5-7; w98 8/1 5-6
mama mwenye miaka 107 na binti yake mwenye miaka 83: w10 12/15 25
mfanyabiashara mwanamke aliyekuwa amepatwa na kiharusi: w09 9/1 9
mtaalamu wa damu apendekeza mgonjwa asome kitabu Biblia Inafundisha: yb07 14
mwalimu asiyeamini kuna Mungu avutiwa sana na insha: w06 7/1 20
mwigizaji na mwimbaji wa zarzuela: w11 5/1 28-29
mwizi arudisha mali alizoiba: jv 179
profesa asifu Amkeni!: g01 3/8 32
tangazo lililobandikwa kwenye kituo cha basi: yb05 59-60
wahamiaji wahubiriwa: yb07 16; yb05 59-60
mapainia wasadizi:
mgonjwa aliyepooza ubongo: yb12 10-12
Mashahidi waandikishwa kisheria (1970): re 185; jv 384, 494, 696, 700
agizo la mfalme lawatambua Mashahidi ambao ni watumishi wa pekee wa wakati wote kuwa wahudumu (2008): yb09 24
Mashahidi wasifiwa:
kwa kujitolea kujenga Majumba ya Ufalme: g03 8/8 31
na msimamizi wa makao ya kuwatunzia wazee: w05 11/1 32
na wasimamizi wa jiji la Cádiz: w99 4/1 32
na watu wa jamaa wa dada aliyekufa: g05 10/22 31
Mashahidi wasiounga mkono siasa au vita:
mwaminifu hadi kifo: g03 3/8 31
wafungwa waendelea kutoa ushahidi: bt 216-217; jv 495
barua za malalamiko: jv 316
msiba wa barabarani (1996): g97 5/8 30; g96 8/22 26-27
ofisi ya tawi:
eneo la Madrid (1983): jv 346-347, 384
ongezeko: w09 9/15 32; jv 384, 494, 510
“Photo-Drama of Creation” (sinema na picha kuhusu uumbaji): jv 437
ripoti ya kila mwaka: yb12 46-47; yb11 42-43; yb10 34-35; yb09 34-35; yb08 34-35; yb07 34-35; yb06 34-35; yb05 34-35; yb04 34-35
suala la damu:
mkutano katika chuo kikuu kuhusu kanuni za maadili zinazohusika katika matibabu (1996): w97 2/15 19-20
mvulana mwenye kansa ya damu: w08 10/1 30-31
Shahidi aliyejeruhiwa katika msiba wa barabarani: g00 5/8 12-13
upinzani:
habari za uwongo kwamba Mashahidi ni madhehebu hatari: g99 1/8 9
upinzani wa makasisi: jv 666
makasisi wawachochea wenye mamlaka: jv 494
vijana:
msichana atumia Amkeni! anapoandika insha: g00 4/8 15
mwanafunzi msichana aeleza msimamo wake kuhusu damu: w05 3/15 18
watoto:
msichana ambaye bado hajabatizwa, atimiza lengo la saa za painia msaidizi: yb12 10-11
watu mbalimbali:
Arias, Julián: w03 7/1 21-25
Beveridge, Eric na Hazel: w01 10/1 27-29
Castillo, Soledad: w08 10/1 28-31
Cooke, Eric: jv 430
Cooke, John: jv 430
Gargallo, Antonio: g03 3/8 31
Kirkup, Raymond: g97 2/8 18-21
Martínez, Gaspar na Mercedes: w09 9/15 30-32
Matthews, Gwendoline: w98 5/1 26-29
Mula Giménez, Manuel: jv 666
Muñiz, Juan: jv 436
Nebrera, Jose Antonio: g 4/11 21-23
Piccone, Domenick: jv 541
Unglaube, Willy: jv 429-430
Young, George: w00 7/1 25; jv 436
ziara za—
Rutherford, J. F.: jv 436