Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Damu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Damu
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maoni ya Biblia
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

DAMU

(Ona pia Damu, Mzunguko wa; Hatia ya Damu; Hemoglobini; Kingamwili; Kutia Damu Mishipani; Plazima [Damu]; Tiba [Mwelekezo Kuihusu]; Ugonjwa wa Kutoganda kwa Damu; Upungufu wa Damu)

(Kuna kichwa kidogo: Maoni ya Biblia)

aina za damu:

maoni ya kwamba utu unategemea aina ya damu: g04 2/8 18-19; g04 12/22 30

anemia selimundu (sickle-cell anemia): g97 7/8 30; g96 10/8 22-25

bidhaa za damu:

zinaweza kuambukiza magonjwa: g99 9/8 28

chakula kilicho na damu:

protini inayotokana na damu (Brazili): g97 5/8 28

chembe nyekundu: g 1/06 24; g01 11/22 26-27

chembe nyeupe: g02 11/8 6; g01 2/8 14-15

chembe za T: g02 11/8 6

damu inavyofanyizwa katika:

uboho: g01 11/22 27

hemoglobini: g 9/10 26-28

hifadhi za damu:

damu haipimwi magonjwa yote: g 3/07 22; g00 10/22 28-29; g96 1/8 29

kuganda kwa damu: g97 5/8 5, 7

kutoa damu: g 8/06 3

damu inayotolewa na watu wenye tatizo la kuchoka daima (CFS): g 9/11 29

Japani: g03 5/22 29

upungufu wa damu: g 8/06 4

maelezo: g 8/06 3

mambo yaliyoonwa:

mume na mke waacha kuuza damu ya wanyama: w97 8/1 7

matibabu yanayohusisha kumtoa mgonjwa damu:

Washington, George (Rais wa Marekani): g04 5/22 6; w96 1/15 11

plazima: g 8/06 8-9

sehemu kuu za damu: g 8/06 8-9; w04 6/15 29-30; w00 6/15 29

shinikizo la damu: g02 4/8 21-23; g01 3/22 26

jinsi shinikizo la juu la damu linavyoathiri ubongo: g96 8/22 28

kiasi cha chumvi kinachopendekezwa kwa watu wenye shinikizo la juu la damu: g03 1/22 30

madhara ya hasira: g02 12/22 29

manufaa ya matunda na mboga: g97 7/8 29

mishipa mikubwa (arteri) ya damu inavyoathiriwa na shinikizo la juu la damu: g96 12/8 9-10

umuhimu wa damu: rs 42

upimaji wa damu:

damu haipimwi vya kutosha: g00 10/22 28-29

visehemu vya damu: g 8/06 9; km 11/06 5

Maoni ya Biblia

amri zinazokataza matumizi ya damu: lv 75-77; g 8/06 10-11; bh 128-131; w04 6/15 29; rs 42-45; w00 6/15 29; rq 25

agano la Sheria: lv 75-76; w04 6/15 15-16

dhamiri inavyohusika: km 11/06 3-6; w04 6/15 22-24

inapaswa kumwagwa chini: bh 129; w04 6/15 15

Noa: lv 75; w04 6/15 14-15

zinahusu damu ya wanadamu: rs 44

zinahusu kutia damu mishipani: bh 130; rs 44-45; rq 25

zinahusu matumizi katika matibabu: lv 77-79; w04 6/15 21

zinahusu pia kondo la nyuma: w97 2/1 29

zinapaswa kufuatwa hata katika hali ya dharura: bh 130-131

zinawahusu Wakristo: lv 77; w04 6/15 20-21; rs 42

chakula ambacho kina sehemu za damu: rs 43

chati: lv 216; w04 6/15 22

damu iliyo katika kondo la nyuma na kiunga-mwana: w97 2/1 29

damu ni takatifu: w11 11/1 17; lv 74-77; w97 1/15 21

damu ya mfano:

“bahari” yageuka kuwa damu (Ufu 16:3): re 223

“mito na chemchemi” zageuka kuwa damu (Ufu 16:4): re 224-225

“sehemu ya tatu ya bahari” yageuka kuwa damu (Ufu 8:8): re 134-136

damu ya Yesu Kristo: cl 145-146

‘damu ya agano’ (Mt 26:28; Mk 14:24): w06 2/15 23

“damu ya Kristo” (1Ko 10:16): w06 2/15 23-24

inafananishwa na damu iliyotolewa katika siku ya upatanisho: lv 76; w04 6/15 16-18

inavyookoa uhai: w04 6/15 18-19

‘vazi lililonyunyiziwa damu’ (Ufu 19:13): re 281

wakati wa Ukumbusho, divai ni mfano wa damu ya Yesu: rs 338

dhabihu zilipotolewa: lv 76; bh 131-133; w04 6/15 15-16; rs 43; w96 7/1 10

‘ilitoa ushahidi’ (1Yo 5:6-8): w08 12/15 28

kuhifadhi damu ya mtu mwenyewe ili kuitumia wakati wa upasuaji: lv 216-218; km 11/06 4, 6; w00 10/15 30-31; w00 12/15 30

kumtegemea Yehova katika mambo yanayohusu damu: w04 6/15 19-20

maandiko yaeleweka wazi zaidi:

1945: w06 2/15 29; jv 183

1961: jv 183-184

2000: w00 10/15 30-31; w00 12/15 30

maelezo: lv 74-79; bh 128-133; w04 6/15 14-24; rs 42-44; rq 25

maoni ya—

Clarke, Adam: w04 6/15 20

Minusiusi Feliksi: rs 44

Tertuliani: w04 6/15 21, 29; rs 44; w00 6/15 29

mashine za kuchuja na kusafisha damu: km 11/06 6; w00 10/15 31

mashine za kusaidia moyo na mapafu: km 11/06 6; w00 10/15 31

mauaji: bh 125, 127; w04 6/15 15; w04 8/1 27

msingi wa madhabahu na pembe zake: w04 5/15 22

mzunguko wa damu unarejelewa (Mhu 12:6): w99 11/15 17

nyama: rq 25

mkaaji mgeni aliweza kula nyama zisizotolewa damu (Kum 14:21): w04 9/15 26

uhusiano kati ya nafsi na damu: lv 74-77

visehemu vya damu: lv 78-79, 215-216; km 11/06 4; w04 6/15 22, 30-31; w00 6/15 29-31

chati ya maamuzi ya mtu binafsi kuhusu damu: km 11/06 5

dhamiri inavyohusika: w04 6/15 23-24

uteute (albumin): km 11/06 5

visafirisha-oksijeni vinavyotokana na hemoglobini: g 8/06 11; km 11/06 5

Wakristo wa mapema: w04 6/15 21, 29; rs 44; w00 6/15 29

wazazi kuwafundisha watoto: km 12/05 6

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki