Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Watoto Wachanga

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watoto Wachanga
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

WATOTO WACHANGA

(Ona pia Kifo cha Ghafula cha Mtoto Mchanga [SIDS]; Kiinitete; Kijusi [Kitoto]; Kumwachisha Mtoto Kunyonya; Kunyonyesha; Kuzaa [Kujifungua]; Mimba; Mimba, Kuzuia; Uzazi; Watoto wa Kupanga; Watoto Wanaozaliwa Kabla ya Wakati)

akaunti za mawasiliano za Intaneti na barua pepe: g 11/11 29

akili: g99 12/8 28

manufaa ya kuwanyonyesha: g03 12/22 28

mazungumzo ya wazazi huboresha akili: g99 5/22 28-29; w98 4/15 32; g98 3/8 28

uwezo wa watoto wachanga kutambua tabia: g 11/08 30

hatari za—

kukarabati nyumba: g03 10/22 28-29

kumtikisa-tikisa mtoto: g04 5/8 19; g03 10/8 29; g02 2/8 28

vipande vya karoti: g03 7/8 30

vipande vya soseji (chakula): g02 11/22 30

vito vyenye risasi: g01 8/22 28

kadiri watoto wachanga wanavyohisi maumivu: g99 3/8 28

kifo cha watoto wachanga:

idadi ya watoto wanaokufa duniani kote: g 11/09 28

jinsi ya kukizuia: g05 12/22 29; g02 6/8 28, 31

kifo cha ghafula cha mtoto mchanga (SIDS): we 12; g03 5/8 28; g99 3/22 31; g99 11/22 30; g97 1/22 29

maoni kwamba Mungu alimchukua mtoto: rs 101

wazazi wanavyohisi: g 10/09 25

kompyuta: g96 6/22 28

kuchagua jinsia ya mtoto kabla ya mimba kutungwa: g97 4/8 28

kucheza na mtoto mchanga: g04 10/22 7

kujifunza kuongea: g 10/11 4-5; w08 5/1 5

kuepuka mazungumzo ya kitoto: g97 4/8 28

manufaa ya wazazi kuwazungumzia: g98 5/22 29

watoto wachanga wa wazazi viziwi: g02 6/8 28

kujitayarisha kabla mtoto hajazaliwa: g03 12/22 8-9

kulia: g03 12/22 6-7; g02 2/8 28

kwa sababu ya kusokotwa na tumbo: g04 5/8 19

watoto wanalia katika lugha ya mama: g 9/10 29

kupima ugonjwa wa tezi la dundumio (thyroid): g 5/09 28

kutiwa damu mishipani:

upasuaji bila kutia damu mishipani: g 6/11 14-15; rs 45-46; g00 9/8 31

kuwalisha watoto wachanga:

asali inawaathiri watoto walio chini ya mwaka mmoja: g99 3/8 29

kileo (pombe) kinavyoathiri maziwa ya mama: g05 10/8 9

kuwanyonyesha: g03 3/22 29; g03 12/22 28; g01 7/8 28; g00 9/22 29; g99 3/22 28; g98 4/8 11; g98 5/8 28; g97 9/22 11

mama wenye UKIMWI watatanika: g00 1/8 20-21; g98 1/22 28

mboga: g01 1/8 15

kuwatunza: g03 12/22 3-11

kuwakumbatia: g05 12/22 29; g02 6/8 31

leukemia (kansa ya damu):

mtoto anaweza kuupata mama akinywa pombe wakati wa ujauzito: g97 1/8 29

madhara ya—

kupuuzwa na wazazi: g03 12/22 6

televisheni: g00 4/8 28

vigari vya kutembea vya watoto: g00 5/22 28

zoea la mama la kuvuta sigara: g96 10/22 22-23

mambo yaliyoonwa:

binti mchanga afa: w08 7/15 10; w03 2/15 5-6; w03 8/1 32

kansa ya damu aina ya lymphoblastic: w01 4/15 14-16

kumsomea mtoto mchanga: g 1/08 32

mama awatafuta Mashahidi baada ya mtoto wake mchanga kufa: w01 4/1 18-19

mtoto aliyelemaa kwa sababu ya kuzaliwa kabla ya wakati: fy 126

Shahidi amlea mtoto mchanga aliyetupwa: w09 9/1 6-7

simulizi la mtu binafsi “Masaibu ya Maggy na Baraka Yangu”: g96 12/22 26-27

vidonda katika utumbo mpana: g04 5/8 22-23

manufaa ya—

kumgusa mtoto mchanga: g98 10/8 29

kumkanda mtoto mchanga: g 7/06 22

kumsomea mtoto mchanga: g05 1/22 28; g04 10/22 31; w96 7/15 31

kumzungumzia mtoto mchanga: g03 12/22 5; g99 5/22 28-29; w98 4/15 32; g98 3/8 28; g98 5/22 29

kuwa pamoja na mama baada tu ya kuzaliwa: g03 12/22 4-5

meno:

kuzuia meno yasioze: g00 11/22 31

mikutanoni: km 5/00 7

mtoto aliyezaliwa mfu:

mashauri kwa wazazi: we 10

uamuzi wa kuwa na watoto au la: jr 94-95

ubatizo: w11 10/1 11; g 9/07 14; w06 7/1 26; rs 308

maoni ya kanisa kuhusu watoto wachanga wanaokufa kabla ya kubatizwa: w10 6/1 4-5

ubongo:

uwezo unavyoongezeka baada ya kuzaliwa: g04 10/22 5-6

ugonjwa wa Down syndrome:

masimulizi ya watu binafsi: w10 4/15 16-19

uhusiano wa karibu pamoja na mama unavyoanza: g03 12/22 4-6; fy 54

mfano wa paka: g96 9/22 24-25

UKIMWI:

wanaozaliwa wakiwa wameambukizwa na virusi vya UKIMWI: g00 7/8 29

watoto wanaozaliwa wakiwa wameambukizwa UKIMWI: g96 2/22 28

upasuaji:

wa moyo unaweza kufanywa bila damu: g 6/11 14-15; rs 45-46; g00 9/8 31

upendo ni muhimu: w08 5/1 8; g03 12/22 5-6; g98 10/8 29

usingizi:

manufaa ya kuota jua mchana: g05 10/22 29

njia bora ya kumlaza mtoto: g99 3/22 31; g99 11/22 30

uwezo wa kiasili wa kucheza dansi: g 5/11 29

uwezo wa kujifunza: g 10/11 4

vituo vya utunzaji vya mchana: g03 12/22 7

viungo bandia: g 2/06 22-23

wasichana hawatakikani: g97 1/8 31

Asia: g96 7/22 28

India: g 2/09 30

watoto ambao hawaandikishwi: g03 2/22 28; g98 12/22 29

watoto ambao hawajazaliwa bado:

hatari za kuwapiga picha kwa kutumia mashine za mawimbi ya sauti: g04 10/8 29

Kitabu cha Kumbukumbu cha Mtoto Aliye Tumboni (“Diary of an Unborn Child”): g 2/10 11

manufaa ya kuwasomea: w96 7/15 31

tumaini la ufufuo: w09 4/15 12-13; w09 8/15 23

ubongo: g 9/08 4

wanatambua muziki: g05 6/22 28

wanavyoathiriwa mama anapokunywa pombe: g 8/09 30; g05 10/8 8-9; g97 1/8 29; g97 7/22 25

wanavyoathiriwa mama anapovuta sigara: rs 53

wanavyoathiriwa na mfadhaiko wa mama: g 1/08 30; g99 11/22 29

wanavyokua tumboni: w07 6/15 21-23

watoto wachanga wa kiroho:

“watoto kuhusiana na ubaya” (1Ko 14:20): w07 2/1 11

watoto wachanga wanaoachwa: g 1/07 15; w98 12/1 32; g96 7/22 29

watoto wachanga wanavutiwa na muziki: g05 6/22 28

watoto wachanga wanavyoweza kubadili uhusiano kati ya baba na mama: w11 5/1 11-14; w08 4/15 18; g99 2/22 29

watoto wanaozaliwa wakiwa na kasoro:

kinachofanya Mungu aruhusu: rs 128-129

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki