Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Ukristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukristo
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Manukuu
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UKRISTO

(Ona pia Dini Zinazodai Kuwa za Kikristo [Jumuiya ya Wakristo]; Kutaniko la Kikristo; Wakristo; Wakristo wa Mapema)

(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)

bora kuliko mfumo wa Wayahudi: w99 12/15 16-17

fundisho kuhusu uzima wa milele duniani: w09 8/15 7-11

haukandamizi: w04 8/15 22-23

kinachowafanya Wayahudi wakatae Ukristo:

enzi za kati (Rabi Naḥmanides): w97 4/15 19-22

kuna Ukristo wa kweli wa aina moja tu: w11 8/1 16; w03 9/1 3-7

kurudishwa kwa ibada ya kweli katika siku zetu: cl 79-81

mambo yanayoutambulisha: w10 1/15 12-16; jv 26-32

jina la Mungu lajulishwa: w12 3/1 7

‘kaeni katika neno langu’ (Yoh 8:31): w12 3/1 4; w06 3/1 5-6

kazi ya kuhubiri: w12 3/1 8-9; w10 1/15 13; rs 66; jv 26-28

kuheshimu neno la Mungu: w12 1/15 4-8; w12 3/1 4

kutokuwa sehemu ya ulimwengu: w12 3/1 5; g 1/11 7-8; w10 1/15 12, 14-15; g 4/07 9; jv 30

mateso (mnyanyaso): jv 30-32

mipango ya usimamizi: od 21-22; jv 28-29

mwenendo: jv 29-30

upendo: w12 3/1 6; w10 1/15 15-16; w09 6/1 14; w09 11/15 20; bm 29; cf 177; w06 3/1 5; rs 65-66; w03 2/1 13-14; w03 3/15 5-6; cl 301; jv 30

ni aina ya elimu: w05 10/15 4-5

tofauti kati ya Ukristo wa kweli na wa uwongo: g 1/07 18-19; w06 3/1 3-7

ufafanuzi: w06 3/1 3

Ukristo:

haujashindwa: g 1/07 18-19

Ukristo ulivyoenea: re 142; gl 32-33; jv 27-28

Asia: w11 1/1 29

Asia Ndogo: w07 8/15 8-11

baada ya siku ya Pentekoste: w07 8/15 8, 11; gl 32

makuhani wapagani walivyotenda: re 62

Milki ya Roma: jv 27

ramani: g 9/12 15; gl 32

Watu wa Mataifa: bt 74

Wayahudi walioishi nje ya Palestina: w05 10/15 12-15

Ukristo unavyoitwa katika Biblia: jv 149

unahusisha sehemu zote za maisha: g 4/07 26-27; rs 65; jv 29-30

una manufaa: jt 22-24

Manukuu

mahali minyanyaso inapoanza, Ukristo hukoma: re 102

mojawapo ya maendeleo makubwa zaidi ya kiroho ya wanadamu: w06 3/1 3

ni mojawapo ya laana kubwa: w06 3/1 3-4

Ukristo umepiga hatua kubwa sana katika mambo mengi: w06 3/1 3

ulileta maadili mapya ya udugu, ufadhili, adabu, na amani: g96 4/8 10

ulisambaa upesi sana: w01 4/1 14; jv 27

unapatikana tu mahali ambapo ujuzi kumhusu Kristo una uvutano juu ya mambo ambayo watu wanafanya: w06 3/1 4

ushindi ulionekana katika kufanya watu wawe wema—maisha yasiyo na lawama, maadili yasiyoweza kusutwa, raia wema: jv 30

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki