KUOKOA/KUOKOKA
(Ona pia Ukombozi [Kuweka Huru]; Wokovu)
Abrahamu amwokoa Loti: w01 8/15 23-26
malaika waokoa (Zb 34:7): w07 3/1 24
Mashahidi wawaokoa wanaume kwa kuondoa mifuko ya simiti iliyowaangukia: g00 11/8 31
wachimba-migodi waokolewa kutoka katika mgodi (Marekani): w08 3/1 3
waliookoka meli ya Loch Ard ilipozama (Australia): g 11/08 16-17
wanyama waokoaji:
paka awaokoa watoto wake wasiteketee: g97 6/22 30; g96 9/22 24-25
sokwe amwokoa mvulana mwenye miaka mitatu: g97 1/22 29
waokokaji wa tetemeko la ardhi:
Haiti (2010): yb11 31-32
wavumbuzi waliokwama kwenye kisiwa (Antaktika): w05 2/1 4-5