MIMBA
(Ona pia Kiinitete; Kijusi [Kitoto]; Kondo la Nyuma; Kuzaa [Kujifungua]; Mimba, Kuzuia; Uzazi; Watoto Wachanga; Watoto Wanaozaliwa Kabla ya Wakati)
(Kuna vichwa vidogo: kubeba Mimba; Kuharibika kwa Mimba; Kutoa Mimba)
dragoni wa baharini: g05 6/22 24-25
farasi-maji wa kiume: g04 12/22 16-17
idadi ya wanawake wanaokufa kwa sababu ya matatizo ya ujauzito: g 11/09 27; g96 11/22 28
idadi ya wanawake wanaokufa kwa sababu ya shinikizo la damu inapunguzwa kwa chumvi ya salfati na maganesi (Epsom salts): g04 10/22 29
maelezo: g99 5/8 31
tofauti kati ya nchi maskini na nchi tajiri: g 5/11 29
kichefuchefu cha wanawake wajawazito: g05 9/8 28; g03 4/22 29
kijusi kinanufaika au kuathiriwa na sauti mbalimbali:
kukisomea kwa sauti: w96 7/15 31
muziki: g05 6/22 28
kupima afya ya mtoto kabla hajazaliwa: g96 8/8 16-17
kutunza afya wakati wa ujauzito: g 11/09 26-29; g03 1/8 12-14
kupima streptococcus aina ya B: g03 9/8 30
lishe: g03 1/8 12-14
madhara ya—
kupiga picha kwa kutumia mashine za mawimbi ya sauti: g04 10/8 29
kutumia kiasi kikubwa cha vitamini aina ya A: g96 7/8 28
kuvuta sigara: rs 53
mfadhaiko wa mama: g 1/08 30; g99 11/22 29
mimba kadhaa: g96 10/8 13
mimba za mapacha: w12 12/15 15
pombe (kileo): g 8/09 30; g05 10/8 8-9; g97 1/8 29; g97 7/22 25
upungufu wa vitamini D: g05 6/22 29
mimba isiyotarajiwa: g 10/11 9
mtoto mchanga anavyokua:
ubongo: g 9/08 4
vijana: g05 7/22 30; g04 10/8 3-12; g03 9/8 29; g02 3/8 9; g97 12/8 29
kinga: g04 10/8 12
mambo yanayosababisha: g04 10/8 4-6; g99 7/22 29
Marekani: g 10/09 30; g04 10/8 7; g01 9/8 29; g00 4/22 13
msichana anachopaswa kufanya akipata mimba: g04 10/8 8-11
mtazamo wa kutaniko: fy 106
ulimwenguni pote: g04 10/8 7
wanawake wajawazito wanaopigwa na wapenzi wao: g 1/08 30; g02 3/22 29
kubeba Mimba
jinsia ya mtoto:
njia ya kuchagua mapema: g97 4/8 28
kuingiza shahawa katika tumbo la uzazi kwa njia isiyo ya asili:
mtu achanga shahawa yenye chembe za urithi zenye kasoro: g 2/11 29
Maria achukua mimba ya Yesu: bh 42; rs 182; lr 32-33; w02 3/15 19; g99 8/8 30; ct 145-146
kama yai la uzazi la Maria lilihusika: w08 3/15 30
mbinu ya kutunga mimba nje ya uzazi (mimba zinazotungwa kwenye maabara): w12 12/15 14-16
Kuharibika kwa Mimba
idadi ya mimba zinazoharibika: g02 3/22 21
kama kuna tumaini la ufufuo: w09 4/15 12-13; w09 8/15 23
mama anavyoathiriwa: w08 3/1 13; we 10; g99 5/8 32
mambo yanayochangia: g02 3/22 21
simulizi la dada ambaye mimba yake iliharibika: g02 3/22 20-22; g02 11/8 30
wengine wanavyoweza kusaidia: g02 3/22 23
Kutoa Mimba
haki za wanawake: rs 133
hatari za kutoa mimba: g99 5/22 29
idadi ya mimba zinazotolewa: g 6/09 3; g 8/08 30; w07 8/15 23-24; w00 1/1 4
kinachowafanya wanawake watoe mimba: g 6/09 3; g05 4/22 29; g96 2/22 28
Kitabu cha Kumbukumbu cha Mtoto Aliye Tumboni (“Diary of an Unborn Child”): g 2/10 11
maelezo: g 6/09 3-9
makala za Amkeni! zathaminiwa: g97 4/22 30
mama wanatoa mimba za watoto wa kike tu: g96 8/8 16-17
maelezo: g98 11/22 9
mama wanavyoathiriwa:
kihisia: g 6/09 3-4
mambo yaliyoonwa:
gazeti lawasaidia kuamua kutotoa mimba: yb12 57-58; g 2/10 11; g97 4/22 30
kubadili maoni: g 7/10 27; w09 8/15 26; w08 2/15 19; w00 1/1 4
mama walioamua kutotoa mimba: g 6/09 3, 6-9
mama wanaojuta: g 9/10 30
mwanafunzi Shahidi azungumzia suala la kutoa mimba darasani: w05 3/15 8
watoto na mama wenye afya nzuri ijapokuwa madaktari walitarajia matatizo: w06 8/1 28; w97 1/15 21-22
maoni ya Biblia: w11 11/1 6; lv 80-82; bh 127; rs 132-133; jv 183; rq 24
kijusi au viini-tete vikiwa na kasoro: w12 12/15 15
uhai unapoanza: g 6/09 6
uhai wa mama unapokuwa hatarini: g 6/09 8; rs 133
maoni ya madaktari:
uhai wa mama unapokuwa hatarini: rs 133
maoni ya Mashahidi: jv 183
ufafanuzi: rs 131-132
uhai unapoanza: g 6/09 5-6
vituo vya kutoa mimba:
watu wachochewa wavishambulie: g96 7/22 11
watoto wanaozaliwa baada ya kukaa tumboni kwa majuma 23 tu wanaweza kupona: g03 6/8 6