Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Viziwi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Viziwi
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Mashahidi wa Yehova
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

VIZIWI

(Ona pia Lugha ya Ishara [Viziwi])

idadi ya viziwi: g05 12/8 30

kuwasiliana—

kwa kusoma midomo: g02 10/8 31

kwa lugha ya ishara: w09 8/15 24-25; g98 9/8 19-25

na watu walio na matatizo ya kusikia: g97 9/22 24

mambo yanayoonyesha kwamba uwezo wa kusikia unapungua: g02 5/22 21

maoni yasiyo ya kweli yasahihishwa: w09 8/15 24

mbwa waliozoezwa kuwasaidia viziwi: g04 2/22 4; g00 2/22 30; g99 7/22 19-20

msaada kwa viziwi:

uhitaji wa kiroho: g 7/10 26-27; w09 8/15 24-27

usomaji: w09 8/15 24-25; g98 9/8 20-21

vijana wanapoteza uwezo wa kusikia kwa sababu ya sauti ya juu ya muziki: g02 5/22 19-20; g99 1/8 29

viziwi wa mfano:

mtumishi kiziwi wa Yehova (Isa 42:18-25; 43:8): ip-2 44-47

‘viziwi watasikia’ (Isa 29:18): ip-1 298, 300-301

watoto wachanga wa wazazi viziwi: g02 6/8 28

Yehova “humfanya” mtu awe kiziwi (Kut 4:11): w99 5/1 28

Yesu amponya kiziwi: w00 2/15 17

kilichofanya amponye faraghani: cf 154; cl 94-95; w96 3/1 5-6

Mashahidi wa Yehova

huduma ya shambani: w09 11/15 30

idadi ya wahubiri: yb11 8

jitihada za kuwahubiria viziwi: w04 7/1 11

Afrika Kusini: yb07 154

Afrika Mashariki: km 9/05 1

Brazili: yb07 6-7, 22-23; w04 7/1 11; w03 2/1 24

DVD na video katika lugha za ishara: yb12 67; yb10 28; w09 8/15 25; w03 6/15 10-11; w98 1/1 17

Hispania: w05 11/1 32

Italia: w05 6/15 14-15; w04 1/1 17

Korea: w03 6/15 8-11

kuwatafuta viziwi katika eneo: km 7/12 6-7

Marekani: yb04 9; km 6/01 1

matumizi ya Tovuti ya www.jw.org: km 12/12 6

mhubiri anapokutana na viziwi katika huduma: w09 11/15 31; km 6/01 1; km 9/99 7

Panama: w06 4/15 11-12

Uganda: g97 2/22 28

Urusi: yb08 235-236

mambo yaliyoonwa:

Benin: w12 12/1 22-23

binti kiziwi: w06 4/15 11-12

Estonia: g97 3/8 25

Jamuhuri ya Altay: w12 3/1 24-25

kituo cha kuwatunzia wazee: w05 11/1 32

kiziwi mwenye kuwaka hasira upesi: yb07 62

makala ya Amkeni! kuhusu lugha ya ishara: g99 5/8 30

mama kiziwi aliye na mtoto mwenye ugonjwa wa Down Syndrome: yb12 66-67

mama mwenye mwana kiziwi: g97 8/22 30; g96 11/8 10-13

msichana ajifunza kusoma midomo na maandishi: yb06 57-58

msichana kiziwi atafuta upendo na fadhili: w12 1/1 19-20

mwalimu wa shule: yb07 23

mwanafunzi wa Biblia amfundisha Shahidi lugha ya ishara: km 2/98 3-4

mwanamke aliyeshuka moyo: w02 3/15 25

mwanamke kiziwi alia anapotazama DVD ya lugha ya ishara: w09 8/15 26

mwandishi wa magazeti awasifu Mashahidi kwa jitihada zao za kuwasaidia viziwi: g 7/10 26

ndugu amhubiria kiziwi anayeomba pesa katika basi: yb04 63-64

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya: yb11 7

vitabu na magazeti ya lugha za ishara (DVD): yb11 7-8; w09 8/15 26

viziwi walioenda kwenye kibanda cha Mashahidi: w05 4/15 9

viziwi waliokubali kweli: g 2/11 8; w05 2/1 17-18; w03 2/1 24; w03 6/15 10-11

waume na wake walioamua mke asitoe mimba: g 7/10 27; w09 8/15 26

Mashahidi viziwi wathaminiwa: w09 11/15 30-32

masimulizi ya maisha:

Barua Iliyobadili Maisha Yangu: w03 1/1 23-26

Kumfundisha Kristi Kumpenda Mungu: g04 4/8 14-15

Nilipata Usalama Nijapokuwa Kiziwi na Kipofu: g01 4/22 19-23; g01 12/22 30

mifano:

funzo la familia: w09 11/15 30-31

ndugu aliye kiziwi na kipofu: w09 11/15 31

vitabu na magazeti katika lugha za ishara (DVD) vyathaminiwa: yb11 8-9; w09 8/15 25-26

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki