BAHARI
(Ona pia Bahari [Viumbe Hai]; Bahari ya Kuyeyushwa; Mawimbi; Pwani [Ufuo]; Tsunami)
(Kuna kichwa kidogo: Bahari Mbalimbali)
‘bahari iliwatoa wafu waliokuwa ndani yake’ (Ufu 20:13): re 297
Bahari ya Antaktika:
idadi ya uduvi inapungua: g05 11/22 28
bahari za mfano:
“bahari haipo tena” (Ufu 21:1): re 301
“bahari kama kioo, kama fuwele” (Ufu 4:6): re 79-80
“bahari kama kioo iliyochangamana na moto” (Ufu 15:2): re 216-217
“ikawa damu kama ya mwanadamu aliyekufa” (Ufu 16:3): re 223-224
‘mnyama-mwitu anayetoka katika bahari’ (Ufu 13:1): w09 2/15 4; re 189
“ole wa dunia na wa bahari” (Ufu 12:12): re 183
‘sehemu ya tatu iligeuka kuwa damu’ (Ufu 8:8, 9): re 134-136
chini ya bahari:
chemchemi za maji ya moto: g00 11/22 3-8, 10
kuchora ramani: g02 5/22 28
safu ya milima iliyo katikati ya bahari: g00 11/22 3-5
viumbe mbalimbali: g05 10/8 28; g03 1/8 29; g00 11/22 4-6, 8-11
chumvi: g 7/06 16-18; g02 6/8 14
kuondoa chumvi katika maji ya bahari (mimea): g 6/08 22
kuondoa chumvi katika maji ya bahari (wanadamu): g 6/08 30; g00 8/22 29
kuvukiza maji ya bahari ili kupata chumvi: g 12/06 16-17; g03 2/8 21-23
maelezo: g 7/06 16-18; g02 6/8 14
dawa (za kitiba) kutoka katika bahari:
viumbe wengi kupita kiasi wanavuliwa: g96 8/22 29
kelele inavyowaathiri wanyama wa baharini wanaonyonyesha: g02 10/8 29
mabomu ya vita vilivyopita ambayo hayakulipuka: g00 8/8 28-29
maelezo: w04 9/15 8-9
maji mekundu: g01 6/8 23-25
maji ya bahari yanaongezeka: g 8/08 3; g05 7/22 6
makala za Amkeni! zathaminiwa: g01 7/22 30
manufaa: w04 9/15 8-9
mawimbi: w04 9/15 9
mawimbi makubwa: g05 6/8 29
tsunami: g05 7/22 31; g01 2/8 24-27
mbegu inayosafiri baharini: g04 5/22 22-23
mfumo wa maji chini ya bahari: g03 12/22 29
miito ya hali za dharura kutoka kwa wasafiri: g 10/10 27-28
mimea midogo sana ya baharini: w04 6/1 12-13
mimea na viumbe hai wa baharini walio katika hatari ya kutoweka: g99 7/22 28
“nyika ya bahari” (Isa 21:1): w06 12/1 11; ip-1 215-216
oksijeni (hewa) kutoka baharini: g04 6/22 31
ramani: g00 11/22 7
roboti zatumiwa kuchunguza bahari: g 9/08 18
sehemu ambayo haina viumbe hai katika Ghuba ya Mexico: g98 7/22 28
uchafuzi: g98 9/22 28
jinsi ya kuuzuia: g97 1/8 29
maji ya pwani ya Bahari ya Pasifiki: g97 1/8 29
plastiki: g 7/07 22; g02 1/8 29
uharamia unaongezeka: g 8/09 30; g04 11/22 28-29; g02 2/8 28-29; g99 12/8 28-29; g97 11/22 29
uvutano juu ya hali ya hewa: g 2/09 6-7
uvuvi:
kukokota nyavu: g99 9/22 28
kukokota nyavu chini ya bahari: g01 11/22 8; g98 4/8 29
uvuvi wa kupita kiasi: g 11/08 20-23; g04 2/22 28; g03 11/22 3; g02 4/8 29
vitu vya kuchezea vyaanguka baharini (1992): g04 5/8 28
viumbe wakubwa wa baharini: g 12/09 15-17
wingi wa mimea na viumbe hai: lc 10; g04 8/22 28
Bahari Mbalimbali
(Ikiwa hakuna marejeo, ona kichwa kikuu)
Bahari Nyekundu:
Bahari Nyeusi:
Bahari ya Adria (Mdo 27:27) (ona kichwa Adria):
Bahari ya Aral:
Bahari ya Atlantiki:
Bahari ya Chumvi:
Bahari ya Galilaya:
Bahari ya Hindi:
Bahari ya Mediterania:
Bahari ya Pasifiki: