UTAJIRI
(Ona pia Hazina; Kupenda Mali; Mali [Utajiri]; Pesa; Ufanisi)
hazijagawanywa sawa kwa watu wote ulimwenguni: g 10/07 30
Israeli (la kale):
utajiri ulitegemea utii: w09 9/1 8
kufuatilia utajiri: jr 105-106, 110-112
kutanguliza mambo ya Ufalme badala ya utajiri: w01 8/15 27
kutotegemea utajiri (1Ti 6:17): w04 4/1 18-19
kutumia utajiri kwa hekima: w09 3/15 26-27
madhara: g 6/07 3-6
madhara ya kuwa na mali: w03 9/15 24
“mali zisizo za uadilifu” (Lu 16:9, 11): w05 7/15 28
mambo yaliyoonwa:
kuacha kufuatilia utajiri: w07 1/1 3, 5, 7; w99 4/1 6-7
maoni ya Biblia: g 3/09 8; w07 8/1 21-25; g03 1/8 26-27
‘haiwezekani kumtumikia Mungu na Utajiri’ (Mt 6:24): w08 4/15 4
kama Mungu anawabariki watu kwa kuwapa utajiri: w09 9/1 3-7; g 5/09 12-13; g03 9/8 26-27
matajiri waonevu: w97 11/15 21-22
mfano wa tajiri mpumbavu (Lu 12): w08 7/1 12-13; w07 8/1 26-30; w05 10/1 32; lr 87-91
mfano wa “tundu la sindano” (Mt 19; Mk 10; Lu 18): w06 1/1 22; w04 5/15 30-31
mtawala tajiri (Mt 19; Mk 10; Lu 18): w07 10/1 3-4; cf 5-7; w06 1/1 22
“nguvu za udanganyifu za utajiri” (Mt 13:22; Mk 4:19): w12 8/15 26-27; g 11/08 6; w07 10/1 17; w96 5/1 23-24
Wakristo matajiri: g 9/10 30
mtazamo kuuhusu utajiri: g 3/09 3-4; w05 1/1 14-15; w98 1/15 17; g97 9/22 12-14
utajiri hauwezi kuleta furaha: w09 9/1 9; w07 1/1 3-4; g 4/07 30; g 6/07 3-6; g 4/06 3, 5, 29; w04 9/1 3; w02 3/1 17; w01 3/1 6; g01 3/22 29; w00 7/15 3-4; g99 5/22 29; w98 5/15 3-6
mamilionea (watu matajiri sana): w07 10/1 17
utajiri wa kiroho:
“dhahabu iliyosafishwa kwa moto” (Ufu 3:18): re 68-69
“hazina mbinguni” (Mt 6:20): w08 2/15 14-15; g 6/07 8-9; w01 7/1 14-15
ni muhimu kuliko mali: g 6/07 8-9
“tajiri kwa Mungu” (Lu 12:21): w08 7/1 13; w07 8/1 28-30; w05 10/1 32; lr 90-91
unatokana na imani: w09 9/1 5-7
watu walio matajiri kuliko wote duniani: g 12/11 28; g 10/07 30
watu wenye mabilioni ya dola (China): g 10/08 30