Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Jeshi, kujiunga na

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jeshi, kujiunga na
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maeneo Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

JESHI, KUJIUNGA NA

(Ona pia Askari-Jeshi; Jeshi; Jeshi [Kutojiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri]; Kutounga Mkono Siasa au Vita)

kiasi cha pesa ambacho serikali zinatumia kwa ajili ya jeshi: g 4/10 30; w07 8/15 23; g 1/06 20

baada ya Vita Baridi: g96 4/22 4; g96 11/8 29

mambo yaliyoonwa:

askari wa NATO katika magari ya vita: w99 4/1 8

Mashahidi walikataa ijapokuwa walihukumiwa kifo: g03 3/8 31

mpiga-zumari katika bendi ya jeshi la angani la Idi Amin (Uganda): w06 6/15 10

msaidizi wa kamanda wa jeshi la wanahewa: g98 4/22 31

maoni ya Biblia: lv 53; rs 135-136; w96 5/1 17, 19

maoni ya dini zinazodai kuwa za Kikristo: w12 3/1 5; yb07 112-113; w06 3/1 6; w96 5/1 17

maoni ya Mashahidi: yb07 113; w96 5/1 17, 19

utumishi wa badala: lv 214-215; w98 8/15 17; w96 5/1 19-20

masimulizi ya maisha:

Jinsi Nilivyoacha Kupenda Vita: g 12/09 24-27

Jinsi Nilivyoacha Kuwa Mwenye Jeuri: g 4/11 21-23

Kilichonifanya Nivutiwe na Mashahidi wa Yehova: g 3/10 12-15

Kutoka Kuwa Shujaa wa Vita Hadi Kuwa Askari-Jeshi wa Kristo: g98 12/22 12-15

Nilikuwa Kamanda wa Jeshi Sasa Mimi Ni “Askari-Jeshi wa Kristo”: g 2/08 12-15

Wakristo wa mapema: w12 3/1 5; g 11/09 11; lv 52; w05 3/15 6-7; rs 136-137; g02 5/8 21; w98 12/1 6; g98 10/22 6; jv 192, 673; g97 5/8 23; w96 5/1 17

watoto jeshini: g02 2/22 28; g02 11/8 28; g99 3/22 29; g99 4/8 3-4; g99 11/22 29; g97 5/8 28; g97 10/22 4-6

Maeneo Mbalimbali

Afrika Kusini:

haki ya Mashahidi ya kukataa kujiunga na jeshi yafutiliwa mbali: yb07 109, 111-113, 118

makanisa yalikuwa na misimamo tofauti-tofauti: yb07 112-113

Argentina:

Mashahidi hawalazimishwi kujiunga na jeshi: jv 194

Shahidi aliyefungwa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi aondolewa hatia (2007): yb08 18

Armenia:

msimamo wa Mashahidi wa kutounga mkono upande wowote: w12 8/15 17; w12 11/1 29-31; yb12 34-35; yb11 21; yb10 17; yb08 18-19; yb06 11, 14; yb04 18

utumishi badala: w12 11/1 31; yb08 18

Belarus:

serikali yakusudia kutunga sheria kuhusu utumishi wa badala (2010): yb11 22-23

Finland:

Mashahidi hawalazimishwi kujiunga na jeshi: jv 194

Hispania:

Shahidi auawa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi (1937): g03 3/8 31

Israeli (la kale): cl 135

Korea (Kusini), Jamhuri ya:

haki ya kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri yatetewa: yb10 22; yb08 17-18; g 12/08 14-15; g 6/06 30

Mashahidi hawajatengwa na utumishi wa jeshi: yb12 36-37; yb09 23-24; yb05 15

Marekani:

Mashahidi wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu: jv 194

Poland:

Mashahidi hawalazimishwi kujiandikisha jeshini: jv 194

Singapore:

Mashahidi wapigwa marufuku kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi (1972- ): g97 6/8 22-23

Sweden:

Mashahidi hawalazimishwi kujiandikisha jeshini: jv 194

Taiwan:

Mashahidi waliofungwa waachiliwa (2000): g01 9/8 28

Turkmenistan:

Mashahidi wahukumiwa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi: yb08 21

Mashahidi waliofungwa waachiliwa (2005): yb06 16

Ugiriki:

Baraza la Serikali lawatetea Mashahidi wasiojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri (2008, 2010): yb11 24-25; yb09 22-23

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yawatetea Mashahidi (1997): g98 1/8 19-23

Uholanzi:

Mashahidi hawalazimishwi kujiandikisha jeshini: jv 194

Uingereza:

Mashahidi wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu: jv 194

Uturuki:

Mashahidi watozwa faini tena na tena: yb07 26

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki