Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Uumbaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uumbaji
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maajabu ya Uumbaji
  • Mambo Yanayothibitisha Kwamba Kuna Muumba
  • Manukuu
  • Masimulizi ya Biblia
  • Masimulizi ya Biblia (Mwanzo)
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UUMBAJI

(Ona pia Mageuzi, Nadharia ya; Mata [Vitu]; Muumba; Sayansi ya Kuiga Uumbaji [Biomimetics]; Siku za Uumbaji; Uumbaji-Mpya)

(Kuna vichwa vidogo: Maajabu ya Uumbaji; Mambo Yanayothibitisha Kwamba Kuna Muumba; Manukuu; Masimulizi ya Biblia; Masimulizi ya Biblia [Mwanzo])

hekaya za kale:

Uhindu: ct 85; g96 3/22 19

kama mambo ambayo mtu anaamini kuhusu uumbaji ni muhimu: w08 2/1 4-5; g 9/06 29

maelezo: lc 1-29

muda ambao vitu vyote vinavyoonekana vimekuwapo: rs 394; g96 1/22 3-5

shule:

kutetea imani ya kwamba vitu vyote viliumbwa: yp2 300-303; g 9/06 26-28

ni kinyume cha sheria kufundisha kwamba vitu vilibuniwa kwa akili (Pennsylvania, Marekani): g 9/06 30

sifa za Yehova zinaonekana wazi katika uumbaji: w08 5/1 3; w04 11/15 8-9; wt 17-18; w98 9/15 22-23; ct 78-84; w97 1/15 19-20

hekima: g 3/10 10; w09 4/15 15-19; w08 5/1 4-5; w03 7/1 12-13; cl 171-175; w96 4/1 12-14

kufundisha kumhusu Yehova kwa kuelekeza fikira kwenye uumbaji: w11 8/1 8-9

nguvu: w11 2/15 6-7; w08 5/1 6; w03 7/1 10-11; cl 47-56; w00 3/1 9-11

wema: cl 272-275

ulimwengu (nyota na sayari):

chanzo cha mata (vitu): rs 394

dhana ya mlipuko mkubwa: g 8/09 17; rs 36-37; g96 1/22 3-6, 11

“ulitiishwa chini ya ubatili” (Ro 8:20): w03 9/1 10-11; w99 5/1 5; w99 8/15 29; w98 9/15 19; ct 114-119

“utawekwa huru kutoka katika utumwa wa uharibifu” (Ro 8:21): w12 3/15 23; jr 181; wt 187-189

uumbaji unalinganishwa na mageuzi ili kuonyesha tofauti: lc 29

uumbaji unamtukuza Yehova: w05 11/15 13-16

wanadamu wanaiga uumbaji wanapobuni vitu: lc 11-17; g 9/06 4-6; w04 10/1 9, 11

balbu: g03 11/22 31

kebo (nyaya) za kioo nyuzi: g 5/06 24; g97 3/22 29

kupeperusha picha kwa njia ya televisheni: g 3/10 6-7

ramani ya elektroniki: g 3/10 8-9

urukaji: g 3/10 4-5

vifaa vya mawasiliano visivyounganishwa kwa waya: g 3/10 3

Maajabu ya Uumbaji

aorta (mshipa mkubwa wa damu): g01 3/22 31

bakteria: g02 3/22 29

flagellum: g 2/11 24

barafu: g00 8/22 6

buibui: yb11 10-11; lc 16; g 1/08 24; w03 7/1 13; cl 175; g01 2/22 30; g00 1/22 6-7; g00 6/8 31; g00 10/22 29

chaza aina ya razor: g 9/10 23

chembe: lf 9-11, 13-20; cl 172

sukari katika chembe: g04 3/22 31

chembe ya chachu: w11 6/1 13

chembe za theluji: w01 4/15 9

dira (viumbe wenye uwezo wa kuhisi uvutano wa sumaku): g03 3/8 6-7; g99 2/22 28

dragoni wa baharini: g05 6/22 24-25

fahamu: ct 63-66

gundi ya mnyoo aina ya sandcastle: g 4/11 26

hariri: g 6/06 27

kamba-mti wanajua wanakoelekea: g03 8/22 28

kiwavi wa baharini: g 8/12 13

koa la moluska: g 8/09 25

kombe la konokono aina ya scaly-foot: g 6/11 23

kombe la konokono anayeitwa clusterwink: g 6/12 18

kombe la samakigamba aina ya paua: g 12/08 24-25

kufuata wakati kwa usahihi: w12 5/15 17-18

mabawa ya viumbe wanaoruka: g 2/09 24

macho: g 5/11 6

kiumbe anayeitwa kiti cha pweza (brittle star): g02 3/22 28

mdudu aliyetoweka kabisa: g00 1/22 5

retina: g 1/11 15

tai: g02 12/22 24

uduvi anayeitwa peacock mantis: g 11/10 24

macho yenye lenzi mbili: g99 4/22 31

manyoya ya dubu barafu (wa ncha ya kaskazini): g96 3/22 28

mapezi ya nyangumi: lc 12; g 9/06 4-5

masikio: g 5/11 5-6

mchanganyiko wa vitu mbalimbali (misombo): g00 1/22 4-6

meno ya mwanamizi wa baharini: g 11/11 16

mfumo unaodumisha usawaziko ulio katika sehemu ya ndani ya sikio: g96 3/22 25-27

mfumo wa kinga: g01 2/8 13-15; w99 6/15 20-21; ct 81-84

mifupa: g 1/10 25

mikono: g 5/11 4-5

mimea:

jani la yungiyungi: g 4/09 27

mbegu za mti aina ya Moringa oleifera: g96 5/8 28-29

miti: w04 6/1 13

uchavushaji: g 4/07 16-18; g03 7/22 24-27

umbo la mzunguko: g 8/07 30; g 9/06 24-25

usanidimwanga (mimea inavyotengeneza chakula): w04 6/1 13

mnyoo anayefanana na gari-moshi: g 11/06 26

mwili wa binadamu: g 5/11 3-7; cl 172-173

mzunguko wa damu: g01 3/22 24-27

ndege: cl 54

bundi: g02 12/22 24

kichwa cha kigogota: g 1/12 19

lammergeier (tai-mzoga) anavyomeng’enya chakula: g96 2/22 25

mabawa ya shakwe (korongo): lc 12-13; g 9/06 5, 7

macho ya tai: g02 12/22 24

manyoya: g 12/09 23; g 7/07 23-25

mayai: g 9/11 28

mayai ya mbuni: g02 5/22 22-25

mbayuwayu wanavyojua wanakoelekea: g04 12/22 29

mdomo wa mdiria: g 4/10 29

mdomo wa ndege aina ya toucan: g 1/09 17

miguu ya shakwe (korongo): lc 13; g 9/08 25

ndege wanaolala usingizi huku wakiruka: g02 11/22 29

ndege wanavyojisawazisha wanaposimama wima au kutembea: g03 8/8 28

pengwini wanavyoweza kukaa baharini: g02 10/22 15-16

uhamaji: g 7/07 3; g 9/06 8; g99 3/8 28

vifaranga walio ndani ya mayai huwasiliana: w08 5/1 4

ngozi ya papa: g 2/10 10

nguvu za uvutano: w01 4/15 5

njia ya kuogelea ya samoni: g 12/10 25

pomboo: w04 6/1 12

popo: g 2/09 24

samaki aina ya boxfish: lc 14; g 7/09 10

samaki anayepanda miamba: g02 4/8 29

shahamu (mafuta ya nyangumi na pomboo): g 8/11 17; g00 1/22 6

sifongo: g 5/06 22-24

kebo (nyaya) za kioo nyuzi: g 5/06 24; g97 3/22 29

sifongo mwenye umbo la duara: g05 11/22 29

twiga: g00 9/22 18

ubongo: g 5/11 6-7; cl 173; ct 50-66

uhamaji wa kasa: g 5/11 25

ulimi wa kinyonga: g05 3/22 29

umeng’enyaji wa maziwa katika watoto wa wanyama wanaocheua: g 10/08 13

uwezo wa kusema: g97 9/8 26

uwezo wa samaki wa kuogelea katika vikundi: g 9/12 19

viumbe wenye uwezo wa kuhisi nguvu ya umeme: g03 3/8 6-7

wadudu: g00 1/8 15-19

buu (kiwavi) anayestahimili ukame: g 12/08 29

chungu: g 9/06 8; g04 3/8 29; g03 6/8 31; g96 1/8 29

kipepeo anavyoruka: g04 1/8 28

mabawa ya kereng’ende: g 8/10 25

mabawa ya kipepeo: g 3/12 24

macho ya mdudu ambaye ametoweka: g00 1/22 5

macho ya nondo: g 7/10 30

macho ya wadudu yenye lenzi nyingi: lc 17; g 3/08 26

mbawakawa: g 5/12 22; g 10/12 15; g 5/09 24; g 12/08 18; g02 10/8 28

mbinu za kuepuka kutambuliwa: g05 7/22 22-23

mrija wa nyigu anayetoboa miti: g 3/11 25

mwangaza wa kimulimuli: g 6/10 15; g03 9/22 6; g02 9/22 31

nyuki wanavyopasha mizinga joto: g04 4/22 29

nzi anavyoruka: g 11/12 11; g99 11/22 24-25

nzi-tunda: g02 8/8 29

sega la nyigu: g 2/12 21

sikio la mdudu aina ya Ormia ochracea: g03 4/22 31

uhamaji wa nyuki: g01 8/8 28

uhamaji wa vipepeo: lc 17; g 3/10 9; g 11/08 10; g96 9/8 29; g96 10/8 16-18

uwezo wa kunusa wa nondo-maliki: g00 3/22 10

vilima vya mchwa: g 6/08 25

wanyama mwitu wanatunza afya: g02 12/8 29

Mambo Yanayothibitisha Kwamba Kuna Muumba

akili: ct 72

chakula: ct 78-81

chembe: lf 5-21; rs 392; g00 8/22 7-8; g00 10/8 11; g99 9/8 3-10; g97 5/8 5, 8-9

mfumo wa chembe za urithi: g 11/11 4-6; lf 15-16, 20; g 2/10 23-24; g 12/09 7; g99 9/8 10

damu: g97 5/8 5, 7

dunia: lc 4-10; g 2/09 3-9; w08 9/1 27-28; w07 2/15 4-7; rs 391; cl 51-53; g00 10/8 8-9; ct 22-24

elementi: g00 10/8 5-7

fahamu: g 12/09 8; ct 63-72

huruma: w00 6/15 28

jicho: g 5/11 6

jua: cl 47-49; g01 3/22 15-18

kama inawezekana kwamba molekuli ya DNA ilitokea yenyewe: g04 6/22 6

kama inawezekana kwamba protini ilitokea yenyewe: lf 5-6

kama inawezekana kwamba uhai ulianza wenyewe: lf 5-6

kanuni za maadili: ct 68-69

kereng’ende: g97 6/22 18

kinachofanya baadhi ya wanasayansi wakatae uthibitisho: lc 22; g 12/09 7-8

kuthamini uzuri na umaridadi: ct 66-68

mabaki ya viumbe wa kale (visukuku): rs 162-164; g04 6/22 7-8

maelezo: w12 7/1 4-5; lc 2, 4-17; w08 1/1 17; w08 5/1 3-6; w04 6/1 9-14; w04 10/1 10-11; rs 215-216, 390-392; g04 6/22 3-12; lr 23-24; la 15-17; w99 6/15 16-18

maji: g00 8/22 5-6

makala za Amkeni! zathaminiwa: g00 9/22 30; g98 4/8 30

maua: g97 12/8 31

Muumba ni Mungu halisi: ct 73-84

mwanadamu ni kiumbe wa pekee: g 5/11 8; w99 6/15 17-18; ct 49-72

mwani (Dunaliella): g02 3/22 26-27

mwili wa mwanadamu: w09 3/15 21; w09 9/1 12-13; w07 6/15 21-23

ndege: g 7/07 3; g 9/06 8; g97 5/8 15

sheria za asili zisizobadilika: w09 3/15 21; g 12/09 5-7; g04 6/22 5, 7; g00 10/8 6-7; w98 5/1 4; w98 6/15 6; ct 16-21; g97 5/8 13; g96 1/22 12-13

sikio: ct 49-50

ubongo: g 2/10 24-25; rs 392; g04 8/8 11-12; la 16-17; g00 10/8 11; ct 50-66; g97 5/8 4, 15

uhai: g 11/11 7-9; lf 5-7; g 11/10 5, 9; rs 163-164; la 16; g00 8/22 6-8; g00 10/8 10; w99 6/15 17; ct 28-44

uhitaji wa kiroho: ct 71-72

ulimwengu (sayari na nyota): w11 2/15 6-7; g 12/09 3-8; rs 36-37, 391; g04 6/22 5; cl 48-51; g00 10/8 3-7, 11; w99 6/15 16-17; g99 6/22 6-9; ct 10-25, 79, 185; g96 1/22 6, 11-14

usanidimwanga (mimea inayvotengeneza chakula): g00 10/8 9, 11; ct 96

utaratibu: w11 2/15 7-9; g 12/09 6; rs 215-216; g99 6/22 6-8

elementi (vitu) za kemikali: g00 8/22 8-9; g00 10/8 6-7; ct 26-27

utaratibu katika ulimwengu (sayari na nyota) hauharibiki: ct 24-25

utata wa viumbe hai: g04 6/22 6, 10-11

utegemeano:

mikundekunde na bakteria aina ya rhizobia: g 8/08 25

uwezo wa kuonja: g 7/08 26

uwezo wa kusema: ct 56-61

uzuri wa, na aina nyingi za, viumbe: g97 5/8 3-4, 15

vitu visivyoonekana: g00 8/22 5-11

viumbe wa kiume na wa kike: g04 6/22 6; g01 2/22 30

viumbe wameumbwa kwa ubunifu: lc 11-17; g 3/10 10; w07 8/15 3-7; g 9/06 4-8, 11-12; w04 10/1 11; g02 12/8 26-27; g00 1/22 4-11; w98 5/1 3-4; g98 3/8 11

wanasayansi wanaoamini kwamba vitu vyote viliumbwa: g 9/06 21-23; w04 11/15 9; rs 215; g04 6/22 3-6, 8-9; g99 2/8 3; ct 73-74; g97 11/22 29

Artist, Russell Charles (mwanabiolojia): g00 8/22 8

Barton, D.H.R. (profesa wa kemia): g02 6/8 7

Baumgardner, John R. (mwanafizikia wa jiolojia): g04 6/22 10-11

Behe, Michael J. (mtaalamu wa biokemia): w08 1/1 16; g 5/06 6; g 9/06 6, 11-12; w05 2/1 6; g04 6/22 6; la 16; ct 44

Collins, Francis (mwanabiolojia wa molekuli): g02 6/8 8

Davies, Paul (mwanafizikia): g 2/10 23; g 11/10 4-5; g 12/09 3; g04 6/22 5; w98 6/15 6; g97 5/8 13

Dembski, William A. (mwanahisabati): g04 6/22 6

Dirac, P. (mwanahisabati): g99 6/22 9

Einstein, Albert (mwanafizikia): ct 73-74

Flew, Antony (mwanafalsafa): g 2/10 24; g 11/10 4

Giertych, Maciej (mtaalamu wa sayansi ya chembe za urithi): ct 43-44

Gish, Duane T. (mtaalamu wa biokemia): g02 6/8 7

Hernández-Lemus, Enrique (profesa): g 9/06 23; g02 6/8 7

Hoyle, Fred (mtaalamu wa elimu ya nyota): w99 6/15 17; g99 6/22 8; ct 25, 41; g97 5/8 13

Hutton, Dakt. James H. (aliyekuwa msimamizi wa mashirika ya tiba): g00 8/22 11

Jastrow, Robert (mtaalamu wa nyota): rs 36-37; ct 16

Jeans, Bwana James (mwanahisabati, mwanafizikia, mtaalamu wa nyota): g 2/10 23

Klopsteg, Dakt. Paul E. (aliyekuwa msimamizi wa shirika la sayansi): g00 8/22 6

Lennox, John (profesa wa hesabu): g 11/10 5-6

Oelschlägel, Bernd (mwanafizikia): g05 11/22 12-15

Phillips, William D. (mwanafizikia): g 2/10 25

Polkinghorne, John (mwanafizikia): g04 6/22 5

profesa wa uinjinia: w09 3/15 21

Rubbia, Carlo (mwanafizikia): g98 8/8 31

Sandage, Allan (mtaalamu wa anga): w04 6/1 10; g04 6/22 8

Schaefer, Henry (profesa wa kemia): g 2/11 22

Schroeder, Dakt. Gerald (mwanafizikia wa nyuklia): g04 6/22 8

Tanaka, Kenneth (mtaalamu wa sayari): g 9/06 22; g03 9/22 18-21; g02 6/8 7

von Braun, Wernher (mwanafizikia): rs 390-391; g99 6/22 9

Vyskočil, František (profesa wa elimu ya mfumo wa neva): g 11/10 8-9

Weinberg, Steven (mwanafizikia): g 12/09 3; ct 185

White, Robert (daktari wa upasuaji wa ubongo): rs 392

Manukuu

elimu ya nyota yathibitisha maoni ya Biblia: rs 36-37

hatupaswi kukataa nadharia ambayo hatupendi ikiwa inaungwa mkono na matokeo ya majaribio: rs 162

kwa njia fulani lazima ulimwengu ulijua kuhusu kuja kuwapo kwetu: g96 1/22 12

lazima sheria ziliwekwa na mtu fulani: rs 390-391

mambo ya maana katika masimulizi ya elimu ya nyota na ya Biblia ya Mwanzo yanafanana: rs 36-37

Mungu alitumia hisabati ya kiwango cha juu sana alipoumba ulimwengu: g00 8/22 9; g99 6/22 9

sayansi ambayo haitii ndani uwezekano wa uumbaji haitafuti kweli: g97 5/8 10

uamuzi wa wazi ni kwamba mifumo mingi ya uhai imefanyizwa: ct 44; g97 5/8 10

Masimulizi ya Biblia

dunia: ct 91-92

fundisho la kwamba uumbaji ulichukua siku sita halisi halipatani na masimulizi ya Biblia: lc 24; g 9/06 18-20

kiumbe wa kwanza: w05 9/15 4; ct 86-87

maelezo: ct 85-102

malaika: w07 3/15 21; bh 96-97; ct 87-88

mata (vitu): rs 394

roho takatifu ilitumika: w11 2/15 6-10

ulimwengu (nyota na sayari): ct 88-91

Yesu Kristo: w08 12/15 12; w05 9/15 4; rs 370-371

aliumbwa na Yehova: bh 40-41

Masimulizi ya Biblia (Mwanzo)

Adamu na Hawa: w11 1/1 6-7; w11 2/15 9; bm 4; ct 97-100

Adamu: w09 9/1 12-13

Hawa: w11 1/1 6-7; w09 9/1 13; w00 11/15 25

waliumbwa ili wakamilishane: w07 1/15 3

waliumbwa kwa mfano wa Mungu: w11 2/15 9; g 12/09 12; w08 10/1 15; w02 2/15 4; w02 6/1 9-10; w00 11/15 25

“aina” za mimea na viumbe hai: lc 19, 27-28; g 9/06 13-14, 20; rs 392-393

anga (angahewa): w08 9/1 27-28; ct 95

Biblia inaeleza kuumbwa kwa ulimwengu kana kwamba mtu anatazama akiwa duniani: w04 1/1 28

“chema sana” (Mwa 1:31): w11 1/1 13; w08 1/1 14-15; lv 172; w99 11/15 4-5

dunia: w08 9/1 27-28

“hapo mwanzo” (Mwa 1:1): lc 24; g 9/06 19

maelezo: lc 24, 26-28; bm 4; ct 85, 92-102

masimulizi ya Biblia hayadokezi kwamba viumbe hai walitokea kwa njia ya mageuzi: w08 1/1 14-16; g 9/06 9-10, 20

masimulizi ya Biblia yanapatana na sayansi: w07 2/15 5-6, 8; g 9/06 18-20; g04 6/22 8, 10

maelezo ya mtaalamu wa miamba ya dunia: w07 2/15 6; ct 101-102

uumbaji wa mata (vitu): rs 394; ct 88-91

“mbingu na dunia” (Mwa 1:1): w11 2/15 6-7; bm 4; rs 36-37; ct 85

mianga: g 9/06 19; w04 1/1 28-29

mimea: ct 95-97

“Mungu aliumba” (Mwa 1:1): ct 85

nchi kavu na bahari: ct 95

nuru na giza: lc 26; g 9/06 19; ct 93-95

urefu wa siku za uumbaji: lc 24, 26; g 9/06 19; rs 165-166; g02 6/8 10-11; ct 93

uumbaji ni tukio halisi: g 9/06 9-10

viumbe wa majini: ct 97

viumbe wanaoruka: ct 97

wanyama wa nchi kavu: ct 97

Yehova apumzika: cl 56; w01 10/1 30; w98 7/15 14-16; ct 100-101

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki