LISHE
(Ona pia Chakula; Chakula Maalumu [Ratiba ya Kula]; Kunyonyesha; Utapiamlo; Vitamini)
chakula kilichopunguzwa kiwango cha mafuta: g96 7/8 29
chakula kinachofaa dundumio (thyroid): g 5/09 29
dandelion (maua): g01 3/22 28
jinsi ya kuchagua vyakula vizuri: g02 5/8 27
kabla ya ujauzito na wakati wa ujauzito: g03 1/8 12-14
kalisi: g98 11/8 28
kitimiri: g04 3/22 29
lishe katika matunda na mboga:
haipungui hata kama udongo unakosa rutuba: g98 10/22 28
lishe kwa ajili ya mifupa: g99 10/22 28
lishe kwa ajili ya misuli: g99 4/8 24
maelezo: g02 5/8 25-27
manufaa ya kula chakula chenye lishe: w97 4/15 28-29, 31
matofaa: g96 2/8 25
miparachichi (avocado): g99 12/22 27
sifa zinazomstahilisha mtu kuitwa “mwanalishe”: g96 11/8 28
vijana:
manufaa ya watu wa familia kula pamoja: g 1/10 14; g00 10/22 29
wanawake: g98 4/8 10-11
watoto: g96 12/22 29
manufaa ya vitamini A: g97 9/22 11
wazee: g 2/11 14; g98 9/8 29