MAGAZETI (ya Ulimwengu)
(Ona pia Habari [Mambo Mapya]; Vyombo vya Habari)
idadi na takwimu zilizotiwa chumvi: g00 8/8 29
maelezo: g05 10/22 3-10
matangazo ya biashara: g04 8/8 25
mwanzo: g05 10/22 4-5
Mashahidi wa Yehova
gazeti la Amkeni! lasifiwa: g97 11/8 31-32
gazeti lasifu utabiri kuhusu mwaka wa 1914 (gazeti la The World, Agosti 1914): re 105; jv 60
habari za kupotosha kuwahusu Mashahidi: g05 10/22 10
Mashahidi ni madhehebu hatari: w01 1/1 17; g99 1/8 9; w98 12/1 17-18; g98 11/22 26-27
India: g99 6/8 31
Mahakama Kuu ya Marekani yawaunga mkono kuhusu haki ya kuhubiri (2002): g03 1/8 10-11
mahubiri ya Russell: w09 5/1 22-23; w09 8/15 15-16; jv 55, 58-59, 421-422, 561
makasisi wapinga makala inayowasifu Mashahidi (Estonia): g96 4/22 23-24
manukuu kuhusu makusanyiko: g97 2/22 27; g97 3/8 24
Mashahidi wasifiwa: jv 179
kwa kuishi pamoja kwa kuheshimiana: g 8/10 7
kwa kusaidia kutatua masuala ya kisheria: w01 5/15 32
kwa umoja wao wakati wa ujenzi: w04 3/1 7
Mkatoliki awasifu: g97 4/22 16
matangazo katika magazeti ya kila siku: jv 560-561
sinema na picha kuhusu uumbaji (“Photo-Drama of Creation”): yb07 76
trakti Ni Nani Hasa Anayeutawala Ulimwengu? yasifiwa: w97 3/1 32
unyofu wa Mashahidi wasifiwa: w97 5/15 29; w96 9/1 32
Urusi:
Mashahidi washinda kesi kuhusu habari za kupotosha kuwahusu: w98 12/1 17-18; g98 11/22 26-27
msomi wa dini: g97 8/22 22-27
ofisi ya tawi yawekwa wakfu (1997): g98 2/22 18-19