AGOSTINO WA HIPPO
(Ona pia Watakatifu [Waliowekwa na Wanadamu])
maelezo yake kuhusu—
mwamba ambao kanisa lilijengwa juu yake (Mt 16:18): w11 8/1 24; rs 361
vita: w09 10/1 29
mafundisho yake kuhusu—
nafsi isiyoweza kufa: ie 15
uvutano wa falsafa ya Kigiriki: w99 8/15 10-11; ie 15
maoni yake kuhusu—
fundisho la kwamba maisha ya wanadamu yameamuliwa mapema (kimbele): w96 9/1 3-4
kugeuza imani ya watu kwa nguvu: w06 9/1 4
siasa: w04 5/1 4
tarehe 25, Mwezi wa 12: w04 12/15 5
Ufalme wa Mungu: w09 8/15 12; w05 1/15 19; jv 38
uhuru wa kuchagua (hiari): g99 8/8 8
Utawala wa Miaka Elfu (Milenia): w09 8/15 12-13; w99 12/1 5, 7-8