Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp23 Na. 1 uku. 16
  • Mungu Anaahidi Afya Bora ya Akili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mungu Anaahidi Afya Bora ya Akili
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Afya ya Akili—Tatizo la Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2023
  • Mambo Unayopaswa Kujua Kuhusu Magonjwa ya Akili
    Amkeni!—2014
  • “Mambo ya Zamani Hayatakumbukwa Akilini”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Mtaabiko wa Akilini—Wakati Unaposumbua Mkristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2023
wp23 Na. 1 uku. 16
Shahidi wa Yehova akimfundisha Biblia mwanamke aliye katika jalada.

Mungu Anaahidi Afya Bora ya Akili

Mungu anatumia Biblia kutoa mwongozo na faraja kwa wale wanaokabiliana na matatizo ya akili.

Mungu amefanya mengi zaidi. Ameahidi kuondoa kabisa chanzo cha matatizo ya akili.

Mungu atakapotimiza ahadi hiyo, hakutakuwa tena na hisia zenye maumivu, matatizo ya akili, na kumbukumbu mbaya, kwa kuwa mambo hayo “hayataingia tena akilini, wala hayataingia tena moyoni.”​—Isaya 65:17.

Mashahidi wa Yehova watafurahi kukusaidia kujua ni lini na jinsi gani Mungu atatimiza ahadi hiyo yenye kugusa moyo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki