Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w24 Agosti uku. 32
  • Taarifa kwa Wasomaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Taarifa kwa Wasomaji
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
w24 Agosti uku. 32

Taarifa kwa Wasomaji

Msomaji Mpendwa

Katika toleo hili la Mnara wa Mlinzi, kutakuwa na makala tano za funzo ambazo zitazungumzia maswali yafuatayo yanayohusiana:

  • Kwanza, Yehova aliweka mpango gani ili kuwasaidia wanadamu washinde pambano dhidi ya dhambi?

  • Pili, Yehova ametufundishaje maana ya toba ya kweli na amewasaidiaje watenda dhambi kutubu?

  • Tatu, kutaniko la Korintho lilipewa mwongozo gani kuhusu jinsi ya kushughulika na wale wanaofanya dhambi kimakusudi bila kutubu?

  • Nne, wazee Wakristo wanapaswa kushughulikiaje visa vya dhambi nzito?

  • Tano, baada ya mtenda dhambi asiyetubu kuondolewa kutanikoni, kutaniko linawezaje kuendelea kumtendea kwa njia ya upendo na rehema?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki