- Habari za Kufanana na Zile
RUTU
HABARI ZENYE KUWA NDANI
1
Elimeleki na familia yake wanahamia Moabu (1, 2)
Naomi, Orpa, na Rutu wanafiwa na bwana zao (3-6)
Rutu anaonyesha ushikamanifu kwa Naomi na kwa Mungu wa Naomi (7-17)
Naomi anarudia Betlehemu pamoja na Rutu (18-22)
2
Rutu anaokota masalio katika shamba la Boazi (1-3)
Rutu na Boazi wanakutana (4-16)
Rutu anamuelezea Naomi juu ya fazili za Boazi (17-23)
3
Naomi anamupatia Rutu maagizo (1-4)
Rutu na Boazi kwenye kiwanja cha kupigia-pigia nafaka (5-15)
Rutu anarudia kwa Naomi (16-18)
4