- Habari za Kufanana na Zile
YOHANA
HABARI ZENYE KUWA NDANI
1
Neno akakuwa mwili (1-18)
Ushahidi wenye Yohana Mubatizaji alitoa (19-28)
Yesu, Mwana-kondoo wa Mungu (29-34)
Wanafunzi wa kwanza wa Yesu (35-42)
Filipo na Natanaeli (43-51)
2
Arusi kule Kana; maji yanageuzwa kuwa divai (1-12)
Yesu anasafisha hekalu (13-22)
Yesu anajua chenye kuwa ndani ya mwanadamu (23-25)
3
4
Yesu na mwanamuke Musamaria (1-38)
Wasamaria wengi wanamuamini Yesu (39-42)
Yesu anamuponyesha mwana wa ofisa (43-54)
5
Mwanaume mugonjwa anaponyeshwa kule Betzata (1-18)
Yesu anapewa mamlaka na Baba yake (19-24)
Wafu watasikia sauti ya Yesu (25-30)
Ushahidi juu ya Yesu (31-47)
6
Yesu anakulisha watu elfu tano (1-15)
Yesu anatembea juu ya maji (16-21)
Yesu ni “mukate wa uzima” (22-59)
Wengi wanakwazwa na maneno ya Yesu (60-71)
7
Yesu akiwa kwenye Sikukuu ya Tabenakulo (1-13)
Yesu anafundisha kwenye sikukuu (14-24)
Mawazo mbalimbali juu ya Kristo (25-52)
8
Baba anatoa ushahidi juu ya Yesu (12-30)
Watoto wa Abrahamu (31-41)
Watoto wa Ibilisi (42-47)
Yesu na Abrahamu (48-59)
9
Yesu anamuponyesha mutu mwenye alizaliwa kipofu (1-12)
Wafarisayo wanamuuliza maulizo mutu mwenye aliponyeshwa (13-34)
Upofu wa Wafarisayo (35-41)
10
Muchungaji na zizi la kondoo (1-21)
Wayahudi wanakutana na Yesu kwenye Sikukuu ya Kumutolea Mungu Hekalu (22-39)
Wayahudi wengi wanakataa kuamini (24-26)
“Kondoo wangu wanasikiliza sauti yangu” (27)
Mwana iko katika umoja na Baba (30, 38)
Watu wengi ngambo ingine ya Yordani wanaamini (40-42)
11
Kifo cha Lazaro (1-16)
Yesu anafariji Marta na Maria (17-37)
Yesu anamufufua Lazaro (38-44)
Mupango wa kumuua Yesu (45-57)
12
Maria anamwanga mafuta kwenye miguu ya Yesu (1-11)
Yesu anaingia kwa ushindi (12-19)
Yesu anatabiri kifo chake (20-37)
Ukosefu wa imani wa Wayahudi unatimiza unabii (38-43)
Yesu alikuja kuokoa ulimwengu (44-50)
13
Yesu ananawisha wanafunzi wake miguu (1-20)
Yesu anatambulisha Yuda kuwa ni musaliti (21-30)
Amri mupya (31-35)
Yesu anatabiri kama Petro atamukana (36-38)
14
15
Mufano wa muzabibu wa kweli (1-10)
Amri ya kuonyesha upendo kama wa Kristo (11-17)
Ulimwengu unachukia wanafunzi wa Yesu (18-27)
16
Wanafunzi wa Yesu watapambana na kifo (1-4a)
Kazi ya roho takatifu (4b-16)
Huzuni ya wanafunzi itageuka kuwa furaha (17-24)
Yesu anashinda ulimwengu (25-33)
17
18
Yuda anamusaliti Yesu (1-9)
Petro anatumia upanga (10, 11)
Yesu anapelekwa kwa Anasi (12-14)
Petro anamukana Yesu mara ya kwanza (15-18)
Yesu mbele ya Anasi (19-24)
Petro anamukana Yesu mara ya pili na ya tatu (25-27)
Yesu mbele ya Pilato (28-40)
19
Yesu anapigwa mijeledi na anachekelewa (1-7)
Pilato anamuuliza tena Yesu maulizo (8-16a)
Yesu anapigwa misumari kwenye muti kule Golgota (16b-24)
Yesu anakamata mipango kwa ajili ya mama yake (25-27)
Kifo cha Yesu (28-37)
Maziko ya Yesu (38-42)
20
Kaburi liko wazi (1-10)
Yesu anamutokea Maria Magdalene (11-18)
Yesu anatokea wanafunzi wake (19-23)
Tomasi anakuwa na mashaka lakini kisha wakati anasadikishwa (24-29)
Kusudi la kitabu hiki cha kukunjwa (30, 31)
21
Yesu anatokea wanafunzi wake (1-14)
Petro anamuhakikishia Yesu kuwa anamupenda (15-19)
Wakati wenye kuja wa mwanafunzi mwenye Yesu alipenda (20-23)
Umalizio (24, 25)