- Habari za Kufanana na Zile
WAGALATIA
HABARI ZENYE KUWA NDANI
1
Salamu (1-5)
Hakuna habari njema ingine (6-9)
Habari njema yenye Paulo alihubiri inatoka kwa Mungu (10-12)
Kugeuzwa kwa Paulo na kazi yake ya pale mwanzo (13-24)
2
Paulo anakutana na mitume Yerusalemu (1-10)
Paulo anamurekebisha Petro (Kefa) (11-14)
Kutangazwa kuwa wenye haki kupitia tu imani (15-21)
3
Tofauti kati ya matendo ya Sheria na imani (1-14)
Ahadi kwa Abrahamu haikukuwa kupitia Sheria (15-18)
Chanzo na kusudi la Sheria (19-25)
Wana wa Mungu kupitia imani (26-29)
4
Hatuko watumwa tena, lakini tuko wana (1-7)
Hangaiko la Paulo juu ya Wagalatia (8-20)
Hagari na Sara: maagano mbili (21-31)
5
6
Mubebeane mizigo mizito (1-10)
Kutahiriwa hakuna maana (11-16)
Maneno ya kumalizia (17, 18)