Siku ya Tano
“Habari njema yenye itafurahisha sana watu wote.”—Luka 2:10
Asubui
3:20 (9:20) Video ya Muziki
3:30 (9:30) Wimbo Na. 150 na Sala
3:40 (9:40) HOTUBA YA MWENYEKITI: Juu ya Nini Tuko na Lazima ya Habari Njema? (1 Wakorinto 9:16; 1 Timoteo 1:12)
4:10 (10:10) DRAMA:
Habari Njema Juu ya Yesu: Epizode ya 1
Mwangaza wa Kweli wa Dunia—Sehemu ya 1 (Matayo 1:18-25; Luka 1:1-80; Yohana 1:1-5)
4:45 (10:45) Wimbo Na. 96 na Matangazo
4:55 (10:55) HOTUBA YENYE SEHEMU INE: ‘Waliongozwa na Roho Takatifu’
• Matayo (2 Petro 1:21)
• Marko (Marko 10:21)
• Luka (Luka 1:1-4)
• Yohana (Yohana 20:31)
6:10 (12:10) Wimbo Na. 110 na Mapumuziko
Kisha Midi
7:35 (13:35) Video ya Muziki
7:45 (13:45) Wimbo Na. 117
7:50 (13:50) HOTUBA YENYE SEHEMU TATU: Uamini Kweli Juu ya Yesu
• Neno (Yohana 1:1; Wafilipi 2:8-11)
• Jina Yake (Matendo 4:12)
• Kuzaliwa Kwake (Matayo 2:1, 2, 7-12, 16)
8:30 (14:30) Wimbo Na. 99 na Matangazo
8:40 (14:40) HOTUBA YENYE SEHEMU SABA: Mambo Yenye Tunajifunza mu Eneo Kwenye Yesu Aliishi
• Namna Eneo Ilikuwa (Kumbukumbu la Torati 8:7)
• Chakula (Luka 11:3; 1 Wakorinto 10:31)
• Maisha ya ku Nyumba (Wafilipi 1:10)
• Namna Watu Waliishi Pamoya (Kumbukumbu la Torati 22:4)
• Elimu (Kumbukumbu la Torati 6:6, 7)
• Ibada (Kumbukumbu la Torati 16:15, 16)
10:15 (16:15) “Habari Njema ya Milele”—Ni nini? (Ufunuo 14:6, 7)
10:50 (16:50) Wimbo Na. 66 na Sala ya Mwisho