- Habari za Kufanana na Zile
YOSHUA
HABARI ZENYE KUWA NDANI
1
2
Yoshua anatuma wapelelezi wawili Yeriko (1-3)
Rahabu anaficha wapelelezi (4-7)
Rahabu anapewa ahadi (8-21a)
Wapelelezi wanarudia kwa Yoshua (21b-24)
3
4
5
Waisraeli wanatahiriwa kule Gilgali (1-9)
Sikukuu ya Pasaka; mana inaacha kuanguka (10-12)
Mukubwa wa jeshi la Yehova (13-15)
6
7
Israeli wanashindwa kule Ai (1-5)
Sala ya Yoshua (6-9)
Zambi inafanya Israeli washindwe (10-15)
Zambi ya Akani inafunuliwa na Akani anapigwa majiwe (16-26)
8
Yoshua anaweka watu wa kuvizia Ai (1-13)
Muji wa Ai unakamatwa (14-29)
Sheria inasomwa kwenye Mulima Ebali (30-35)
9
Wagibeoni wajanja wanatafuta amani (1-15)
Ujanja wa Wagibeoni unafunuliwa (16-21)
Wagibeoni wanakuwa watumwa wa kukusanya kuni na kushota maji (22-27)
10
Israeli wanasaidia Wagibeoni (1-7)
Yehova anapigania Israeli (8-15)
Wafalme tano wenye kushambulia wanauawa (16-28)
Miji ya eneo la kusini inakamatwa (29-43)
11
12
13
Maeneo yenye hayajakamatwa (1-7)
Kugawanywa kwa maeneo ya mashariki mwa Yordani (8-14)
Uriti wa Warubeni (15-23)
Uriti wa Wagadi (24-28)
Uriti wa kabila la Manase upande wa mashariki (29-32)
Yehova ndiye uriti wa Walawi (33)
14
15
16
17
18
19
Uriti wa kabila la Simeoni (1-9)
Uriti wa kabila la Zabuloni (10-16)
Uriti wa kabila la Isakari (17-23)
Uriti wa kabila la Asheri (24-31)
Uriti wa kabila la Naftali (32-39)
Uriti wa kabila la Dani (40-48)
Uriti wa Yoshua (49-51)
20
21
22
Makabila ya mashariki yanarudia kwao (1-8)
Mazabahu inajengwa karibu na Yordani (9-12)
Kusudi la mazabahu linaelezwa (13-29)
Hali ya kukosa kuelewana inaisha (30-34)
23
24
Yoshua anakumbusha Israeli historia yao (1-13)
Anatia watu moyo wamutumikie Yehova (14-24)
Yoshua anafanya agano na Israeli (25-28)
Yoshua anakufa na anazikwa (29-31)
Mifupa ya Yosefu inazikwa Shekemu (32)
Eleazari anakufa na anazikwa (33)