Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 17:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Ndipo Abrahamu akamchukua Ishmaeli mwana wake na wanaume wote waliozaliwa nyumbani mwake na kila mtu aliyenunuliwa kwa pesa zake, kila mtu wa kiume kati ya wanaume wa nyumba ya Abrahamu, naye akaanza kutahiri nyama ya magovi yao siku hiyo hiyo, kama Mungu alivyokuwa amemwambia.+

  • Waebrania 11:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kwa imani Abrahamu,+ alipoitwa, alitii kwa kutoka akaenda na kuingia mahali alipokusudiwa kupokea kuwa urithi; naye akatoka, ijapokuwa hakujua mahali alipokuwa akienda.+

  • Yakobo 2:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Je, Abrahamu baba+ yetu hakutangazwa kuwa mwadilifu kwa matendo baada ya kumtoa Isaka mwana wake juu ya madhabahu?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki