Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 33:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kisha Esau akaanza kukimbia kwenda kumpokea.+ Naye akaanza kumkumbatia+ na kumwangukia shingoni, akambusu, nao wakatokwa na machozi.

  • Mwanzo 45:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Akawabusu ndugu zake wote akawalilia,+ kisha ndugu zake wakaongea naye.

  • Luka 15:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa hiyo akaondoka akamwendea baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamsikitikia, akakimbia, akamwangukia shingoni na kumbusu kwa wororo.

  • Waroma 16:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Salimianeni kwa busu takatifu.+ Makutaniko yote ya Kristo yanawasalimu ninyi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki