Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 4:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Kisha Yehova akamwambia Haruni: “Nenda ukakutane na Musa nyikani.”+ Basi akaenda akakutana naye katika mlima wa Mungu wa kweli,+ akambusu.

  • 1 Samweli 20:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Yule mtumishi akaenda. Naye Daudi akasimama kutoka hapo karibu na upande wa kusini. Kisha akaanguka kifudifudi+ na kuinama mara tatu; nao wakaanza kubusiana+ na kuliliana, mpaka ikawa Daudi ndiye aliyelia zaidi.+

  • Luka 15:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa hiyo akaondoka akamwendea baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamsikitikia, akakimbia, akamwangukia shingoni na kumbusu kwa wororo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki