Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 43:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Wakajibu, wakasema: “Mtumishi wako baba yetu anaendelea vema. Angali hai.” Kisha wakainama na kulala kifudifudi.+

  • 1 Samweli 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi Daudi akainuka baadaye, akatoka nje ya lile pango na kumwita Sauli, akisema: “Bwana wangu+ mfalme!” Ndipo Sauli akatazama nyuma, naye Daudi akainama kifudifudi,+ akasujudu.

  • 1 Samweli 25:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Abigaili alipomwona Daudi, akafanya haraka mara moja, akashuka kutoka juu ya yule punda, akaanguka kifudifudi mbele ya Daudi, akainama+ chini.

  • 2 Samweli 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Wakati Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli alipoingia kwa Daudi, akaanguka mara moja kifudifudi, akasujudu.+ Ndipo Daudi akasema: “Mefiboshethi!” naye akajibu: “Mimi hapa, mtumishi wako.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki