-
Luka 15:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa hiyo akainuka akamwendea baba yake. Alipokuwa angali mbali sana, baba yake alimwona mara hiyo naye akasukumwa na sikitiko, naye akakimbia akaangukia shingo yake na kumbusu kwa wororo.
-