Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 28:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nami nitakutunza katika njia yote unayoenda, nami nitakurudisha kwenye nchi hii,+ kwa sababu sitakuacha mpaka niwe kwa kweli nimefanya hayo ambayo nimekuambia.”+

  • Mwanzo 31:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mimi ndimi Mungu wa kweli wa Betheli,+ ambapo ulitia mafuta nguzo+ na ambapo uliniwekea nadhiri.+ Basi ondoka, toka katika nchi hii urudi kwenye nchi ya kuzaliwa kwako.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki