Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 40:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji kwenye cheo chake cha kunywesha,+ naye akaendelea kumpa Farao kikombe mkononi mwake.

  • Mwanzo 41:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Ikawa kwamba kama vile alivyotutafsiria, ndivyo ilivyotukia. Mimi akanirudisha katika cheo changu,+ lakini yeye akamtundika.”+

  • Yeremia 52:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Mwishowe ikawa kwamba katika mwaka wa 37 wa uhamisho wa Yehoyakini+ mfalme wa Yuda, katika mwezi wa 12, katika siku ya 25 ya mwezi huo, Evil-merodaki mfalme wa Babiloni, katika mwaka wa kuwa kwake mfalme, akakiinua kichwa+ cha Yehoyakini mfalme wa Yuda na kumtoa katika nyumba ya gereza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki