7 Na ugomvi ukatokea kati ya wachungaji wa mifugo ya Abramu na wachungaji wa mifugo ya Loti; na wakati huo Mkanaani na Mperizi walikuwa wakikaa katika nchi hiyo.+
19 Ila wake zenu na watoto wenu na mifugo yenu (najua kwamba mna kiasi kikubwa cha mifugo) wataendelea kukaa katika majiji yenu ambayo nimewapa ninyi,+