Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Nawe utawafunga ukumbuu, Haruni pamoja na wanawe, nawe utawafunga valio la kichwani; nao ukuhani utakuwa wao, hiyo ikiwa ni sheria mpaka wakati usio na kipimo.+ Basi utajaza nguvu mkono wa Haruni na mkono wa wanawe.+

  • Mambo ya Walawi 8:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Nanyi msitoke nje ya mwingilio wa hema la mkutano kwa siku saba,+ mpaka siku ya kutimia kwa siku za kuwekwa kwenu rasmi, kwa sababu itachukua siku saba kuujaza mkono wenu nguvu.+

  • Hesabu 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya wana wa Haruni, makuhani waliotiwa mafuta ambao mikono yao ilijazwa nguvu watumikie wakiwa makuhani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki