15 Naye Musa akamchinja+ na kuichukua damu+ yake na kuitia kwa kidole chake juu ya pembe za madhabahu kuizunguka pande zote na kuitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini ile damu nyingine akaimimina kwenye msingi wa madhabahu, apate kuitakasa ili afanye upatanisho+ juu yake.