40 Na sehemu ya kumi ya kipimo cha efa ya unga laini+ uliotiwa sehemu ya nne ya hini ya mafuta yaliyopondwa, na toleo la kinywaji+ la sehemu ya nne ya hini ya divai, vitatolewa kwa ajili ya yule mwana-kondoo dume wa kwanza.
36 Mtakuwa na mizani sahihi, vipimo sahihi,+ kipimo sahihi cha efa na kipimo sahihi cha hini. Mimi ni Yehova Mungu wenu, ambaye nimewatoa ninyi katika nchi ya Misri.
5 Nawe utatoa divai iwe toleo la kinywaji,+ sehemu ya nne ya hini, pamoja na lile toleo la kuteketezwa au kwa ajili ya dhabihu ya kila mwana-kondoo dume.