Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 5:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Ikiwa nafsi inajiendesha kwa njia isiyo ya uaminifu kwa kutenda dhambi bila kukusudia juu ya mambo matakatifu ya Yehova,+ basi atamtolea Yehova kondoo-dume ambaye hana kasoro kutoka katika kundi, awe toleo lake la hatia,+ kulingana na ile thamani iliyokadiriwa ya shekeli za fedha,+ kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, kuwa toleo la hatia.

  • Mambo ya Walawi 27:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 nayo thamani iliyokadiriwa iwe ya mwanamume mwenye umri wa kuanzia miaka 20 mpaka miaka 60, basi thamani iliyokadiriwa itakuwa shekeli 50 za fedha kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki