-
Mambo ya Walawi 23:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na katika siku ambayo mganda wenu utatikiswa huku na huku mtamtoa mwana-kondoo dume ambaye hana kasoro, aliye katika mwaka wake wa kwanza, kwa ajili ya toleo la kuteketezwa kwa Yehova;
-