Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 14:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Naye yule ndege aliye hai, atamchukua na huo mti wa mwerezi na kile kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na hisopo, naye atavichovya pamoja na yule ndege aliye hai katika damu ya huyo ndege aliyeuawa juu ya maji yanayotiririka.

  • Zaburi 51:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Unitakase kwa hisopo kutokana na dhambi, ili nipate kuwa safi;+

      Unioshe, ili nipate kuwa mweupe kuliko theluji.+

  • Waebrania 9:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa maana wakati kila amri kulingana na Sheria ilipokuwa imesemwa na Musa kwa watu wote,+ alichukua damu ya wale ng’ombe-dume wachanga na ya wale mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu na hisopo+ na kukinyunyizia kile kitabu na watu wote,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki