Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 5:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo mana ikaacha kuanguka siku iliyofuata walipokuwa wamekula mazao ya nchi, wala mana haikuja tena kwa ajili ya wana wa Israeli,+ nao wakaanza kula mazao ya nchi ya Kanaani mwaka huo.+

  • Nehemia 9:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nawe ukawapa mkate kutoka mbinguni kwa ajili ya njaa yao,+ na kutoka katika mwamba ukawaletea maji kwa ajili ya kiu yao,+ nawe ukawaambia waingie+ na kuimiliki nchi ambayo kwa kiapo ulikuwa umeuinua mkono wako ili kuwapa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki