Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 8:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi waandishi+ wa mfalme wakaitwa wakati huo katika mwezi wa tatu, yaani, mwezi wa Sivani, siku ya 23 ya mwezi huo; na Wayahudi na maliwali+ na magavana na wakuu wa wilaya za utawala ambazo zilikuwa kutoka India mpaka Ethiopia, wilaya za utawala 127,+ wakaandikiwa kulingana na yote ambayo Mordekai aliamuru. Kila wilaya ya utawala kwa mtindo wao wa kuandika+ na kila kikundi cha watu kwa lugha+ yao, na Wayahudi kwa mtindo wao wa kuandika na kwa lugha+ yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki