Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 1:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi akatuma barua+ kwa wilaya zote za utawala wa mfalme, kwa kila wilaya+ kwa mtindo wake wa kuandika na kwa kila kikundi cha watu kwa lugha yao, kwamba kila mume aendelee kuwa mkuu nyumbani mwake+ na kusema kwa lugha ya watu wake mwenyewe.

  • Esta 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo waandishi+ wa mfalme wakaitwa katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na tatu ya mwezi huo. Basi kuandika+ kukaendelea kulingana na yote ambayo Hamani aliwaamuru maliwali wa mfalme na magavana waliokuwa juu ya wilaya mbalimbali za utawala,+ na wakuu wa vikundi mbalimbali vya watu, wa kila wilaya ya utawala, katika mtindo wao wa kuandika,+ na kila kikundi cha watu kwa lugha yao wenyewe. Hayo yaliandikwa kwa jina+ la Mfalme Ahasuero na kutiwa muhuri kwa pete+ ya mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki