Danieli 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Mwishowe wanaume hao wakaingia pamoja kwa mfalme, nao wakamwambia mfalme: “Ujue, Ee mfalme, ya kuwa sheria ya Wamedi na Waajemi ni kwamba amri ya marufuku+ au sheria yoyote ambayo mfalme mwenyewe huisimamisha imara haipasi kubadilishwa.”+
15 Mwishowe wanaume hao wakaingia pamoja kwa mfalme, nao wakamwambia mfalme: “Ujue, Ee mfalme, ya kuwa sheria ya Wamedi na Waajemi ni kwamba amri ya marufuku+ au sheria yoyote ambayo mfalme mwenyewe huisimamisha imara haipasi kubadilishwa.”+