Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Lakini mwaka wa saba utaliacha bila kulimwa nawe utaliacha lipumzike,+ nao maskini wa watu wako watakula kutokana nalo; nacho kile ambacho wataacha kitaliwa na wanyama wa mwituni.+ Hivyo ndivyo utakavyofanya na shamba lako la mizabibu na shamba lako la mizeituni.

  • Mambo ya Walawi 25:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Nayo sabato ya nchi itakuwa chakula kwa ajili yenu, kwa ajili yako na mtumwa wako na kijakazi wako na mfanyakazi wako wa kukodiwa na mkaaji anayekaa pamoja nawe, wale wanaokaa wakiwa wakaaji wageni pamoja nawe,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki