Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nao mshipi,+ ulio juu yake ili kufunga kwa kuikaza, kulingana na ufundi wake, utakuwa wa vifaa vyake, wa dhahabu, uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa.

  • Kutoka 29:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha utayachukua yale mavazi+ na kumvika Haruni kwa kanzu na koti lisilo na mikono la efodi na kwa efodi na kifuko cha kifuani, nawe utamfunga hicho kwa kukaza kwa mshipi wa efodi.+

  • Kutoka 39:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Halafu wakafanya pete mbili za dhahabu na kuziweka juu ya vile vipande viwili vya begani vya efodi upande wake wa chini, sehemu yake ya mbele, karibu na mahali pake pa kuungania, juu ya ule mshipi wa efodi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki