Mambo ya Walawi 20:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 “‘Na mwanamume akilala na mwanamke mwenye hedhi na kuufunua uchi wake, ameifunua chemchemi yake, naye mwanamke huyo ameifichua chemchemi ya damu yake.+ Kwa hiyo wote wawili watakatiliwa mbali kutoka katikati ya watu wao.
18 “‘Na mwanamume akilala na mwanamke mwenye hedhi na kuufunua uchi wake, ameifunua chemchemi yake, naye mwanamke huyo ameifichua chemchemi ya damu yake.+ Kwa hiyo wote wawili watakatiliwa mbali kutoka katikati ya watu wao.