- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 21:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        3 na itakuwa ni lile jiji lililo karibu zaidi na yule aliyeuawa. Nao wanaume wazee wa jiji hilo watamchukua ng’ombe mchanga kutoka kati ya mifugo ambaye hajafanya kazi, ambaye hajavuta nira; 
 
-