Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 2:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “Ndipo nikatuma wajumbe kutoka katika nyika ya Kedemothi+ mpaka kwa Sihoni+ mfalme wa Heshboni wakiwa na maneno ya amani,+ na kusema,

  • Waamuzi 11:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “‘Baada ya hayo Israeli wakatuma wajumbe kwa Sihoni mfalme wa Waamori, mfalme wa Heshboni,+ na Israeli wakamwambia: “Tafadhali, tuache tupite katika nchi yako kwenda mahali pangu mwenyewe.”+

  • Wimbo wa Sulemani 7:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Shingo yako+ ni kama mnara wa pembe ya tembo. Macho yako+ ni kama vidimbwi katika Heshboni,+ kando ya lango la Bath-rabimu. Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni, ambao unaelekea Damasko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki