Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 “Na hiki ndicho utakachotoa juu ya madhabahu hiyo: wana-kondoo dume kila mmoja akiwa na umri wa mwaka mmoja, wawili kila siku daima.+

  • Mambo ya Walawi 6:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Mwamuru Haruni na wanawe, na kusema, ‘Hii ndiyo sheria ya toleo la kuteketezwa:+ Toleo la kuteketezwa litakuwa kwenye jiko juu ya madhabahu usiku kucha mpaka asubuhi, nao moto wa madhabahu utawashwa ndani yake.

  • Hesabu 29:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 mwana-mbuzi mmoja akiwa toleo la dhambi, mbali na lile toleo la dhambi la upatanisho+ na lile toleo la kuteketezwa la daima na toleo lake la nafaka, pamoja na matoleo yake ya kinywaji.+

  • Ezekieli 46:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nao wataandaa mwana-kondoo dume na toleo la nafaka na mafuta asubuhi baada ya asubuhi kuwa toleo zima la kuteketezwa la daima.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki