Mwanzo 41:42 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 42 Kisha Farao akaivua pete yake rasmi ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akaiweka mkononi mwa Yosefu na kumvalisha mavazi ya kitani bora, naye akaweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake.+
42 Kisha Farao akaivua pete yake rasmi ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akaiweka mkononi mwa Yosefu na kumvalisha mavazi ya kitani bora, naye akaweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake.+