Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 aliyekuwa akienda mbele yenu njiani ili kupeleleza mahali kwa ajili yenu ili mpige kambi,+ kwa moto wakati wa usiku ili mwione njia mnayopaswa kuitembea na kwa wingu wakati wa mchana.+

  • Yoshua 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 wakawaamuru watu, wakisema: “Mara mtakapoliona sanduku la agano la Yehova Mungu wenu, na makuhani Walawi wakiwa wamelichukua,+ ndipo mtakapoondoka mahali penu, nanyi mlifuate,

  • Yoshua 3:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 —ila mwache kuwe na umbali wa karibu kipimo cha mikono elfu mbili kati yenu na sanduku hilo;+ msilikaribie—ili mpate kuijua njia mnayopaswa kutembea, kwa maana hamjapata kuipita njia hiyo hapo mbeleni.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki